DILLISH AMKANA MWANAUME WA KENYA ALIYEJITOKEZA NA KUDAI NI BABA YAKE

Baada ya mwanaume mkenya Abdi Galgayo Guyo aliyejitokeza jana katika ofisi za Standard Media Kenya na kudai kuwa ndiye baba mzazi wa mshindi wa BBA The Chase Dillish Mathews kutoka Namibia, Dillish amemkana na kusema baba yake ana asili ya Somalia.

Mashabiki mbalimbali wamemuuliza Dillish kuhusu Guyo kupitia twitter, lakini Dillish ambaye ameonesha kushangazwa na habari hizo, saa moja iliyopita ametweet kuwa baba yake ana asili ya Somalia hivyo hajui huyu jamaa ameibukia wapi!


Why is this weird dude claiming to be my dad! My dad is Somali! Where did he fall from haaaaaaai -_-

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad