EXCLUSIVE INTERVIEW:DAYNA AZUNGUMZIA SAKATA LA BEAT YAKE KUTUMIWA NA DIAMOND BILA RUHUSA

Apparently wimbo mpya wa Diamond, Number 1 ambao video yake ilifanyika nchini Afrika Kusini na kuzinduliwa wiki iliyopita, umetumia beat ya wimbo wa Dayna Nyange uliokuwa umerekodiwa tayari na alipanga amshirikishe Diamond.

Dayna aliyewahi kuhit na wimbo Nivute Kwako, ameiambia Bongo5 kuwa wimbo huo aliurekodi muda mrefu na alikuwa akimsubiri tu Diamond aingize sehemu yake lakini mara nyingi haikuwa rahisi kutokana na ubusy wake na tayari alikuwa amemsikiizisha demo yake.

“Tulisikiliza ule wimbo kwenye gari yake, akasikiliza kama mara tatu hivi akaniambia ‘kazi ni nzuri tunaweza tukafanya kitu,” anasema Dayna.

“Ni track ambayo nilikuwa naitegemea na nilikuwa naiamini,”aliongeza.”Ukimuangalia Diamond ni mtu ambaye mimi simfikii kisanaa, ni mtu ambaye tayari kafika mbali, kwahiyo nilijua hata nikikaa naye kwenye ile kazi, ni kazi ambayo na mimi ingeweza kunisogeza sehemu fulani.”

Anasema baada ya kumsikilizisha wimbo huo, wakapanga Diamond akafanya kipande chake lakini ratiba zao zilikuwa zinapishana. Dayna anasema baada ya muda kupita alikuja kupigiwa simu na mtu aliyedai ameusikia wimbo wa Diamond uliotumia beat yake lakini hakuamini.

“Kwa mazingira yale tuliyokuwa tumeanza na ile kazi mwanzoni mpaka kusikia eti nakuja kuambiwa hivyo mimi nilikataa sana.”

Baada ya kushindwa kuamini, mtu huyo alimtumia wimbo huo wa Diamond kipindi ambacho ulikuwa haujatoka na kuamini kweli beat yake imetumika. Dayna anasema anakumbuka Diamond hajawahi kwenda kwenye studio ya Sheddy Clever, producer wa wimbo huo kitendo ambacho anasema kimetokea baada ya kuwa ameusikia wimbo wa Dayna na kuupenda na hivyo kumfuata producer huyo na kumshawishi beat aitumie yeye


“Kwenda kwake kwa Sheddy, alikwenda kitofauti kwamba kwa lengo la kunizunguka mimi na kwenda kuitumia ile beat,” anasema Dayna.

“Baada ya kupata uhakika wa hicho kitu kiasi fulani kwanza kilinivunja moyo na kilinivunja nguvu ya kufanya kitu chochote,” anaelezea Dayna kuhusiana na jinsi alivyojisikia baada ya kuujua ukweli na hata hivyo anasema hakuweza kumpigia simu Diamond.

“Kwasababu kwa upande wangu mimi, nilijiuliza maswali kama nikimpigia simu Diamond namuuliza, ‘Diamond kwanini umetumia beat yangu’ wakati najua kweli ametumia beat yangu?” anahoji msanii huyo.

“Kwahiyo mimi sikuweza kumpigia simu tena Diamond na Sheddy kwasababu nilishawahi kumpigia simu akaniambia kwamba hakijafanyika kitu, kwahiyo nikajua kabisa hawa walishakaa, wakakubaliana ndo wakaamua kulifanya.

Diamond ni mtu ambaye nilikuwa namheshimu sana na nilikuwa namkubali sana kutoka moyoni mwangu japo kila mtu na mapungufu yake na nilimuamini sana kiasi kwamba hiki kitu alichonifanyia yaani kimenivunja moyo kweli, kimeniuza kweli.”

Amesema kwa sasa kuna ushauri aliopewa kuufanya ili kupata suluhisho la hicho kilichotokea na atatoa taarifa baadaye.

Wakati huo juhudi za kumpata producer wa wimbo huo, Sheddy Clever ili azungumzie upande wake zimegonga mwamba kwakuwa hapokei simu zetu na Diamond yupo nchini Kenya kikazi.'

Msikilize Dayna Hapa Chini: Source:Bongo5.com
Tags

Post a Comment

29 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sasa kama alikuwa ivo kabla ya diamond kuachiliya nyimbo Kwanini hajaweka wazi na alikuwa na Uhakika?
    Tuwachiwe upuuzi hata ungetowa iyo nyimbo wewe unafikiriya ingekuwa kama ya diamond.
    Kama mtanzania nafurahi Diamond kutowa nyimbo hiyo na kuifamyiya video ya kimataifa itakayo tangaza mchi yetu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. sio kuachiliya nyimbo....kuachilia wimbo, kutofautisha wingi na umoja kwa kutumia lugha ya mama yako unashndwa,kingereza ndo utaweza?

      Delete
    2. Huyu jamaa nadhani ni mkimbizi, Kiswahili hajui, 'ungetowa iyo nyimbo" badala ya ungetoa huo wimbo unafikiriya badala ya unafikiri,kumfanyiya badala ya kumfanyia, mchi badala ya nchi.kazi ipo

      Delete
    3. kajifunze kiswahili

      Delete
    4. Hahaaaaa uhamiaji kamata huyoooooooo...!!!

      Delete
  2. Diamond mbona ni mwizi tu wa biti za wasanii. Kwani si aliiba biti ya pasha. Pole Dada. Yani Diamond Kumamake siku zake zinahesabika huyu msenge mbuzi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unadhani unapomtukana mama yake ndo unafurahi au unadhan diamond ana muda wa kusoma coment yako? Mama yake kakosa nin jamani. Mtukane yeye. Utalaaniwa mpumbavu ww... jifunze ustaarabu. Dhambi kubwa kumtusi mama asiye na kosa.au kumzaa ndo tatizo.

      Delete
  3. Ww unamshabikia diamond hap juu huna akili

    ReplyDelete
  4. Diamond acha Hiyo tabia unajivunjia heshima.shame on you Diamond

    ReplyDelete
  5. Uyo platnum wenu choko tu na we mpuuz mmoja unae xema ni poa kuiba nyimbo ya mwenzie kisa ametangaza video kimataif we nawe choko na wote watakao suport upuuz huo wa uyo choko nao machoko kw Pasha wa2 tumepga kimya tena kw dayna tena jinc gn ameonesha udhaif yn mtoto diamond choko

    ReplyDelete
  6. Mbululla!!!!!!!!

    ReplyDelete
  7. Hakuna usawa 2mwachie Mungu

    ReplyDelete
  8. Anabebwa mbululaz

    ReplyDelete
  9. iba iba ibaaaaa!!diamond ibaaaa!!!! ibaaaa beat hadi mistari ibaaaa!! nakusaport ukiiba!!! TEAM DIAMOND!!

    ReplyDelete
  10. wee ndio akili huna aibe iliiweje kwanza ameshakuwa wakimataifa alafu analeta ujinga yeye alitakiwa awe mwalimu wahao wanaoibukia sasa anawakatisha tamaa, wabongo ndio maana hamtaendelea sababu wivu ukiona mwenzio anataka kuinuka unamgonga rungu huyo D ni mbulula tu NA SIFA SITAMCOST

    ReplyDelete
  11. Diamond msenge tu.. Halafu mnamuita msanii bora...?? Msanii bora anaiba beat ya mtu, isitoshe msanii ambaye bado yuko kwenye safari ndefu mbele yake..? Kinyaa kwa kweli... He is soo cheap and low, kweli elimu muhimu maishani hata kama hautaitumia ofisini

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umenena hapo... Cheap and low class ndio nilivyomdefine mimi., kama kuna mtu ana namba ya mdada aiweke jamani.. I am an Intelectual property lawyer, naweza kumsaidia nikiongea nae, tena ntampa legal service ya bure maana imanikera kwa kweli

      Delete
    2. je unajua behind the scene?

      Delete
  12. Diamond we ni rolmodo wangu kwa vitendo vyako vya wizi.
    Yaani mie nilijuaga h baba kakusingizia,
    haya sasa dyna nae kafunguka.
    Dah
    kweli mujini mipango.

    ReplyDelete
  13. Matusi mnayocoment kama kutukana tusi la kike latukera jamani. Kuweni wastaarabu. Hamna mama zenu. Au mama zenu hawana hicho kiungo. Mamake daimond kakosa nini! Hivi mnaelewa maana ya hilo neno kwa kirefu chache. Mtaalaaniwa nyie...

    ReplyDelete
  14. utaanza kulaaniwa ww unaemtetea mwizi... huyo domo kubwa (diamond) mbona n mwiz kitambo tng hajaanza muzik alikuwa anaiba miwa kwny mashamb y wa2. nawashangaa nyie mavi y bata mnavyomtetea

    ReplyDelete
  15. IBAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA IBAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!! DIAMOND

    ReplyDelete
  16. Aaaahahahahaha

    ReplyDelete
  17. ukiona msanii kaanza kuiba mashaii au beat jua kila kitu kushneyyyyy yan muziki hana tenaaaa

    ReplyDelete
  18. yera d*mond iba iba kwanza demo ya dayna inaonyesha ngoma ingekuw mbovu bana fny yako mtoto wa kimanyema watakuelewa 2 hawa wasanii mbuz

    ReplyDelete
  19. yera d*mond iba iba kwanza demo ya dayna inaonyesha ngoma ingekuw mbovu bana fny yako mtoto wa kimanyema watakuelewa 2 hawa wasanii mbuz

    ReplyDelete
  20. mna uhakika au mnamponda coz hamumpendi.....anaendelea kupeta tu mnabaki kuteta,mta kaa apo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad