FLORA LYIMO AWASHUKIA BLOGGERS NA WALE WOTE WANAO SEMA KAPOST PICHA ZA UCHI

"Ndugu zangu Watanzania na Nyota zangu' Poleni sana kwa yale mnayoyasoma kwenye Baadhi ya Mamburulaz'' Blogs na Facebook bila kusahau Vipage Group vyao'' Sasa napenda kuwaambieni kwamba Poleni sana kwa Mnavyoandikiweni ''Yani Picha za Uchi '' Mimi kama Mimi Sioni Uchi wa Hizo Picha'' Nakama Ninavyo elewa ''HAMJAWAHI KUONA PICHA ZANGU ZA UCHI AU NISEME HAMJUI NINI MAANA YA UCHI'' FULL STOP'' 
Pili'' HII NI AHADI NA MNAJUA AHADI NI DENI'' NAWAAHIDINI KILA PALE NITAKAPO PATA  NAFASI '' NITAWAPIGIENI PICHA KAMA HIZI NA ZAIDI 'NA SIYO ZA UCHI NINAOUFAHAMU MIMI AU UNAOFAHAMIKA NA WASOMI NA WAELEWA PIA'' SASA WALE WASIO WAELEWA NA WASOMI ''WATAPATA CHA KUWASUKUTUA MIDOMO YAO NA MENO YAO YALOOZA 'KWA HIZO PICHA NITAKAZO POST KILA NITAKAPO JINAFASI TENA NAJIFYETUA MWENYEWE'' CHEZEA MPIGA PICHA WA UKWELI TENA SASA NINA CAMERA 4''NNE'' YANI FULL KUWASNAPIENI''
NI HAYO KUTOKA KWA MSEMA KWELI WENU NA 
YOUR TOP IN TOWN ''FLORA LYIMO FASHION POLICE'' 
HAVE NICE WEEKEND MY DEARS'' AND THANKS KWA WINGI WENU WA KUMIMINIKA KWENYE HII BLOG LEO''YANI NIMESTUKAJE KUONA WINGI WENU ? KUMBE MWASEMA HAMNIPENDI NA HUKU MWANIPENDA HIVI'' RUWA MANGI 'AIKENYI NDAO 'MORE PHOTOS LIKE HIZI EVERY DAY NIKIWEZA''
DONT FORGET TO FOLLOW THIS BLOG''
Hii nimewapa Vidonge vyao Mburulas huko Facebook''
Flora Lyimo YATA WASHINDA.......KUMBE NYIE WOTE WAJINGA MAMBURALAZ HIVI.....? HIVI MNAJUA NINI MAANA YA UCHI ?? SASA KWA TAARIFA YENU ..NITAJIPIGA PICHA KILA SIKU ZA HIVI '' NA NITA POST KWA YOUR TOP IN TOWN ...FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG....ILI MPATE KUSUKUTUA MIDOMO YENU MICHAFU NA MENO KAMA YA MMNYWA UGOROO..HAHHAHAHAAAA...NYIE MLIE TUU''MCHEKE KWANI MNA MWANYA" Says Flora Lyimo


Source:Mie sina mengi kama kawaida yangu ni kucopy na kupaste nusu nusu...Jisomee zaidi mwenyewe kwenye Blog yake..Click Hapa ..FLORA LYIMO BLOG
Tags

Post a Comment

24 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sasa ndo umeongea nini hapo? kama unaona dili tembea uchi hadharani.

    ReplyDelete
  2. kuna mtu alikuambia kma.ana shida ya kuona ngoz yako? na ungekuwa mzur ingekuwaje? maviii we

    ReplyDelete
  3. Jaman jamani sisi ambao hatujaoa tatapata wap wake wa kuoa tanzania hii kama mambo yenyewe ndo haya?

    ReplyDelete
  4. Huyu anatafta umaarufu na traffic ya nguvu kwenye blog yake hana lolote huyo mbuta nanga sijui flora

    ReplyDelete
  5. Na his mange kila akikaa baada ya miez 2 anawaza kumchokoza sintah baadae anasema yy anachokozwa eti anamwandama mwenzio kapewa mimba ya majanini kweli

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umeonaa ee mange anamchukia sintah jaman sijui kamkosea nn? Dhambi Kumchukia mwenzio hivyo

      Delete
  6. Mange ana roho mbaya na ya kuua alivyoona mwenzie kapiga picha na shamimu na jg yy kau mia vibaya mno a Nafikiria kila m2 at a m chukia sintah kama Hilo linavyo mchukia

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hiv anavyomsemaga mwenzie anamficha mwanae mbona yy hana tofaut si ansmficha hata mama kweni hana picha za mamake? Mbona baba ake kafa still anatuonyesha picha zske why za mamaake? Au hana mvuto

      Delete
    2. Mama ake MANGE alikuwa mpika chai na muuza vitumbua magurumbasi primary school .Alikuwa anakaa Tandika karibia na magorofani .Kila mtoto alikuwa na baba ake .MANGE allipelekwa kwa baba ake akalelewa na mama wa kambo.Lakini baada ya mzee kimambi kufa MANGE mtoto wa kambo alimpelekesha mama kimambi Jamani ,mama Lisa saa hizi tajiri na MANGE haruhusiwi kukanyaga pale.kabakia na hawala wa mzee kimambi Dr Mwele .

      Delete
  7. Mange live sintah alooonee ooooo .hakuna mimba za majann mimba zote zinatoka kwa Mungu .mdomo huo aliyekupa ww mume ndiye aliyemnyima sintah mamii usiku furu sana. Kwen ukoo wenu wote waliozaa wsmefunga ndoa?

    ReplyDelete
    Replies
    1. anadai eti ana gundu? je mumewe akifa sasa hivi amuache na hiyo mimba atasemaje? kweli nilikuwa upande wa mange ila kwa leo nimemuona kiazi kufa! ana roho mbaya yule dada sijawai kuona kumbe..this is too much mange! huna utu hata!
      kwani kuolewa ni issue sana?

      Delete
    2. Mzungu mwenyewe kampata baada ya kujiuza wewe kwa wazungu.

      Delete
    3. Mzungu kafulia Mpaka anauza nguo mitaani

      Delete
  8. Mamaako na babaako walivyokuzaa wewe walifunga ndoa? So na wewe mtoto wa majanini?

    ReplyDelete
  9. we mpumbavu uchi ni pamoja na kifua na tumbo taahira ww ishu ya lema ilikushinda umeanza tena umaarufu hautafutwi hvyo

    ReplyDelete
  10. nyie wajinga mmefuata nn huku, sasa mambo ya mange na cnta c yanatuhusu nn! ushuuz tu. toeni coment kuhusu mada husika sio kila mada nyie mnawaweka hao mashoga zenu!

    ReplyDelete
  11. jamani bora mseme nyie, nimesoma alichoandika mange sijapenda kbs. Halafu anasema yeye ndo anachokozwa..hivi ulimwengu wa sasa wa'wake wangapi wanazaa bila ndoa na wana maisha mazuri tu? mange ameniudhi sn, anamchokonoa sn sintah. Halafu mpare mwenzake, khaa yule dada hapana aiseee

    ReplyDelete
  12. Mange ni garbeg hafai kwa dagaa wala mchuzi wa kachumbari i hate her with all my haeart n soul

    ReplyDelete
  13. we nawe hebu tutokee hapa, kwani umeambiwa usome hizo comments za mange? kama hupendi zidelete..mange kimavi una roho mbaya sn, umetudhalilisha wanawake. Halafu kuna mijitu kule inashabikia pengine nayo ina mitoto bila ndoa au walizaliwa nje ya ndoa...Kumbuka aliyekupa wewe ndio aliemnyima sintah na wengineo. Leo ndio nimeona kweli wewe ndo mchokozi

    ReplyDelete
  14. sasa kinawauma nn au na nyie mmetiwa majanini heheheiyaaa umalaya utawaua kujibebesha mi mimba hovyo baba zao hamuwajui! mbona mwajishuku hivyo mpaka mapovu yanawatoka ka mbilikimo!

    ReplyDelete
  15. sema anony hapo juu walitumwa waingie kwenye blog ya mange?ana roho mbaya ipakeni rangi washenzi nyie mnatetea ujinga? Hampendi kuambiwa ukweli mtu akisema ukweli mnatokwa na mapovu mafala nyie huyo sintah mnamuona malaika hana lolote achambwe tu anajificha kwny ngozi ya kondoo?achanwe live nyie wenyewe mna utumbo kibao mnabaki kumsema mange kisa kasema ukweli

    ReplyDelete
    Replies
    1. We mange acha usenge ukweli utasema ww? Mbona ww mtoto iwa majann vlevle fala ww hujitambui.Mungu ndie anaetoa hizo mimba ingekuwa hi vyo wEnye ndoa peke yao wangezaa

      Delete
    2. Bhoke mtoto wa Mange yupo Kama waziri wasira

      Delete
    3. Mange oh mimba yangu imetoka bahati mbaya Mara Nina mimba Mara I swear sitozaa tena.Na nakuombea kwa Mungu UZAE MANGE via INDUCTION uanze na fake labor contraction Halafu baada ya hapo they have to ripe your cervix na balloon .Baada ya hapo your cervix should dilate only 4 cm Halafu your spinal reject the epidural Halafu UZAE na C section .GOOD lUCK maana unavyotukana mimba za Watu na watoto wa Watu .

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad