HALI NI TETE NAWEZA KUTOKA NJE YA NDOA MUDA WOWOTE NAOMBENI USHAURI ISITOKEE

Wadau mwenzenu nipo katika wakati mgumu sana nataka tubadirishane uzoefu. Mke wangu kasafiri kikazi nje ya nchi atakuwa huko kwa miezi Sita na tokea ameondoka ni miezi miwili tu imepita, mwenzenu sijafanya mapenzi mda wote huo wa miezi miwili na kichupa nahisi kimejaa.

Napata taabu sana nimejaribu kufanya mazoezi na kushiriki michezo mbali mbali kusahau maswala ya ngono, achilia mbali nikiwa ofisini naji keep busy sana lakini ikifika usiku nikiwa Kitandani napata taabu sana maana 'mzee' anasimama wima kwa mda mrefu sana hata usingizi inakuwa ishu kupata, 

Mimi sitaki lakini mwili unahitaji kufanya mapenzi kwakweli, Hebu nipeni uzoefu nifanye nini ili katika hiki kipindi cha miezi sita nisitoke nje ya ndoa kwani ni miezi miwili tu hali imeshakuwa hivi, je kuna mtu amewahi kukaa mda mrefu kiasi hiki bila kufanya mapenzi? kama yupo anipe uzoefu alikuwa anafanya nini kuikabiri hii hali maana kuna kila dalili kwamba nitashindwa.
Tags

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pumbavu acha uzinzi wewe. Mazoezi tu yanatosha.

    ReplyDelete
  2. Wee mzinz kweli miez miwil?hata kama kichupa mmmh!

    ReplyDelete
  3. ameomba ushauri maneno mengi ya nini shinda na roho yako kaka!

    ReplyDelete
  4. Fanya mazoezi makali kati ya dakika 30 hadi 60 hasa jioni achana na vitu ambavyo havihusiani na sex. ukiwa unazungumuza na mkeo sema mambo ya maendeleo sio kulalamika au ju ya sex. Ukiwa umechoka utalala ukiamuka kama mida ya saa 10 au 11 fanya usafi chumba na nguo zako. tanki likijaa litamwaga lenyewe hiyo sio dhambi it is showing you are still a man. Jitunze kipindi hiki. mwenzio akirudi akakukuta ukosalaama i mean no AIDS NO V.D., No Pregenant that will be the best. kama unahouse girl mwambie aenda nyumbani it is very likely that to say I will be using Condom at the end of the day you will find pregnant. let me say "their is no one who has been hospitalized be he or she did not have sex for 20 years or more but I have seen many and very many people who have been hospitalized because they had sex and many have died" please their is no death without sex but their is many side effect if you want to be a slave of sex. My dear she is on a course you should also be on self-training course

    ReplyDelete
  5. Ue unaangaria TV sana kabla ya kulala

    ReplyDelete
  6. Replies
    1. Mdau umegonga kwenye mifupa kabisa hukutaka blah blah blah..nimekulove bureee.lol

      Delete
  7. Kama unampenda mkeo plz uctoke nje ya ndoa cz kuna vtu vnaweza kukufanya ukose raha ktk maisha ya ndoa kikubwa pale utakapo pata ukimwi, jitahd kuchat na mkeo sana pale unapopata mda then penda kuangalia muv au tv kama mdau juu alivosema

    ReplyDelete
  8. Pole kaka yangu. mimi pia mpenzi wangu yuko mbali hatujaonana kwa muda wa miaka mitatu! Ningumu sana hali uliyonayo but unaweza kuvumilia jikeep busy pia ukijisikia hamu jaribu kuwa unampigia mkeo au chat nae ili mridhishane kwenye simu..yes phone sex inasaidia sana! Fanya phone sex na mkeo ,sijasema mtumiane pic za uchi lahasha,mpigie mkeo simu akiwa kitandani na wewe ukiwa peke yako semezaneni kiasi gani mmemisiana...mwambie mkeo atowe chupi na yeye awe anakujibu natoa kwa sauti ya mahaba na yenye mvuto kisha muelekeze ashike wapi huku na wewe unakuwa unamchezea babu na lotion taratibuu...usitumie sabuni au kavu kavu tumia lotion or baby oil..mpetipeti mkeo kwenye simu naye akupetipeti mkojozane. Huu 2013 mambo yakuchitia tupa kuleee wewe chezeana na wife kwa simu(phone sex) utakuja hapa kunishukuru my dear one!

    Yes mimi na fanya na mpenzi wangu and imetusaidia sana . I'm happy mwezi ujao ndio tutakuwa pamoja me na yeye so happy:)


    Onyinye

    ReplyDelete
  9. Sasa wewe umemshauri nyeto hilo. Kaka usifanye hilo ni baya sana.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Apo ni nyeto tu kuvumilia hato wza yeye sio mtume wa Mungu ! Mshauri wewe sasa afanye nini,ovyoo. Kunamatatu hapo kuvumilia mpaka mke arudi which hawezi , kufanya phone sex na mkewe wakojozane na waepuke vishawishi au kutomba nje ya ndoa yake. haya kaka kazi kwako sasa..

      Delete
  10. Mdau hapo juu nmekukubali sana nw days kutoka nje ya ndoa ni kama ushamba tu, why don't u love ua wife na yeye atakupenda ukweli na kuongea nae kwenye cmu na kujikeep bzy itakusaidia usisahau kupenda kuangalia muv wkt wa kulala kupoteza mawazo sana pia epuka marafki unaoona wanakupoteza na kukushauri kutoka nje ya ndo

    ReplyDelete
  11. Msirahisishe maneno,phone sex ni punyeto mcdangannye watu,ila ndo ivo punyeto c nzur ila llinaokoa mengi,ndoa,uchumba,shule na hata ukimwi,jamani nyege za kiume hatari,huwe kuzugia et maoez au biz,ngoma hua inasimama mpaka inauma

    ReplyDelete
  12. Tusdanganyane hapa phone sex ni nyeto japi si nzuri ila imeokoa mengi

    ReplyDelete
  13. WASHAURI WENGINE BWANA ETI PHONE SEX (MAPENZI YA KWENYE SIMU) KWAN MMEMNUNULIA VOCHA????????????????????????????????????????????????????? NA HUKO MKE ALIKOENDA YATOSHA HAKUNA. Niite ORUJONJOMOGO.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad