HALI YA MSANII BANZA STONE NI MBAYA...

NGULI wa muziki wa Dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ ameanza kuugua tena ambapo tangu Sikukuu ya Iddi hadi sasa yupo hoi kitandani.

Akizungumza kwa huzuni na mwandishi wetu, Banza alisema alipomaliza shoo ya Sikukuu ya Iddi na Bendi ya Extra Bongo, alianza kuugua, akaenda Hospitali ya Yemen iliyopo Sinza, Dar ikagundulika ana malaria kali ambapo alipewa dozi ya siku saba. 



“Nilipewa dawa za malaria nikameza nikaambiwa baada ya siku saba nitajisikia vizuri lakini mpaka sasa sioni mabadiliko yoyote, bado mwili unaniuma sana, nashinda kitandani kila siku hivyo muziki basi kwa sasa,” alisema Banza na kuongeza:

“Najua mashabiki wangu watanimisi lakini kwa sasa muziki nimepumzika, naomba mashabiki waniombee.”
Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. achomwe sindano za chroloquin kama vidonge havitoshi, apigwe chroloquin 3 kwa siku nne, full dose 12 tuone inakaa vipi?

    ReplyDelete
    Replies
    1. WEWE unajua anaumwa nin au wataka kumuua tu mwenzio???afanye vipimo vyote vya mwili kwanza

      Delete
    2. Madkari wengine bwana duuu...unatisha dr wa kugedi

      Delete
  2. Ukipona Banza punguza umalaya wa k, zitakumaliza ndugu yangu K zipo kila siku angalia afya yako kaka oooohooo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kula tano mdau, tena kwa kutongoza tongoza hovyo, jamani wife wake alikufa na niniiiii vileeee? ??
      Makavu live.

      Delete
    2. Kula tano mdau, tena kwa kutongoza tongoza hovyo, jamani wife wake alikufa na niniiiii vileeee? ??
      Makavu live.

      Delete
  3. Ukipona Banza punguza umalaya wa k, zitakumaliza ndugu yangu K zipo kila siku angalia afya yako kaka oooohooo

    ReplyDelete
  4. Pole kwa kuumwa in shaa Allah upate nafuu haraka. Jamani ivi usanii bongo haulipi eeh!? Huyu si super star wa bongo? Inakuwaje huko ndani hoi mpaka leo hajuwi nini kinamsumbua! Mmh kazi kweli kweli



    Bijou

    ReplyDelete
  5. Hana kingine mbona Banza ana Ngoma long tym.Poleni sana mliotombwa na Banza jamaa Jigoma lam-maliza

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad