HII NDIO ORODHA YA VYUO VIKUU BORA TANZANIA NA KOZI ZINAZOONGOZA

1}UDSM-engineering,economics,Llb,PSPA ,sociology,Bcom,education,comp uter science.
2}SUA-agriculture,veterinary medicne,animal science.
3}mzumbe-accounting+management.
4}muhimbili-MD+pharmacy.
5}ardhi-archtecture,building economics,urban+rural planning,land valuation.
6}udom-education. 
7}saut-mass communication.
8}ifm-accounting,finance,banking
9}IAA-Accounting.
10}TIA-accounting

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Very true, ma beloved chuo T.I.A, make t happen

    ReplyDelete
  2. hii orodha umetoa kwenye source gani au umetumia perceptions zako?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Swali zuri....aonyeshe reference

      Delete
    2. Swali zuri....aonyeshe reference

      Delete
    3. Swali zuri....aonyeshe reference

      Delete
    4. SIJAMUELEWA INAMAANA NDIO VOTE AMA....

      Delete
  3. hii orodha umetoa kwenye source gani au umetumia perceptions zako?

    ReplyDelete
  4. SINA UHAKIKA NA AKILI YAKO

    ReplyDelete
  5. Source wap ndugu yangu?.vitu kama hivi haviend kienyej! Weka source,au ulikaa na mtazamo wako binafs.

    ReplyDelete
  6. Huyo Ni mburula Tu hajui alichandka!!

    ReplyDelete
  7. Hapo kwa University of Dar es salaam(udsm)
    upo sahihi gud

    ReplyDelete
  8. Hapo kwa University of Dar es salaam(udsm)
    upo sahihi gud

    ReplyDelete
  9. yes hii habari ya kwamba UDSM ni chuo cha 4 katika Africa ilitolewa na Mitandao ya Nigeria baada ya research waliyofanya. Mtandao wenyewe ni www.lindaikeji.blogspot.com, muda umepita ilikuwa ni mwanzoni wa mwaka huu.

    ReplyDelete
  10. Ovyooooooooooooooooo!

    ReplyDelete
  11. udsm home of intellectualls

    ReplyDelete
  12. sawaaaaaaaaaa DIT sio universty, kwan universty ni mpaka kuwe na fani kibao, kama busness, llb,education sijui nini na nini, yaaan fan unazojua zote ilaaaaaaaaaaaaaaaa DIT ni the big institute of technology for gud ENGINEERS lyk me. na kwa africa kipo top 5 ww.......... DIT.... home of gud engineers

    ReplyDelete
  13. Elimu ibakie kupimwa kwa maarifa ya wakufunzi na sio vyeti vyeti tu. maana ufanisi unaelekea katika ujuzu, maarif na uzoefu. wa mazao ya vyuo ndani na nje ya nchi nawatkieni masomo mema wasomi wenzangu msikate tamaa kwa changamoto zinjazotukabili.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad