Leo video ya muziki ya Msanii Diamond platnumz ya wimbo wa My Number one imetoka rasmi kwenye Television na mitandao mbalimbali ya kijamii na kusema ukweli ni moja ya video nzuri sana za muziki hapa nchini na sio siri kijana huyu wa bongofleva amefanya kazi kubwa sana na anastahili pongezi.
Baada ya kuisikiliza kwa makini nyimbo hii yenye mahadhi flani ya kiafrika zaidi tulifika kwenye dakika ya 2 na sekunde 50 (2:50) ya nyimbo hii na ndipo ukatokea “ubishi” ambao tukaona sio mbaya tukiupeleka kwa wasomaji wetu ili kupata maoni Zaidi.
Katika sehemu hii ya mwisho ya nyimbo hii Diamond anatamka maneno ambayo baadhi ya watu tuliokuwepo katika mabishano hayo tunasema kuwa yanamlenga mwanadada wetu muigizaji, Wema sepetu kama “vijembe” kwakwe, diamond anamalizia wimbo wake kwa kusema “TUACHE TULALE” maneno amabyo kwa wale wanafuatilia habari za watu hawa wawili yalioongewa na mpenzi wa diamond wa sasa VJ penny kwenye tukio la wapenzi hao kumrekodi mwanadada Wema Sepetu kwenye simu alipokuwa akimbembeleza mpenzi wake wa zamani (Diamond Platnumz) warudiane, tukio liliotokea miezi kadhaa iliyopita.
Swali likawa, Je maneno haya yatakuwa yanamlenga Wema??? Kama siyo kwanini Diamond ayatamke sehemu ambayo hata haihusiani nayo kwenye wimbo???
Tatizo tayari palishakuwa na historia hiyo so lazima watu wa oanishe tu.mwny kujua km ni dongo au si dongo ni diamond mwnyw.
ReplyDeleteWema ataendelea kua Wema no matter wat.....
ReplyDeleteTena wao ndio wamuache wema apumue...wema wema wema my fooooooooot.....
ReplyDeleteMwacheni dada wa watu kila cku yeye
ReplyDeleteDiamond mwehu tu kama ndo kijembe kinamuhusu Wema then wimbo wenyewe kaiba kwa Dayna .........binafsi amenikera kwa hili
ReplyDeleteLISWAHILI DOT.COM
ReplyDeleteKwan Diamond akiimba k2 basi iwe kazi kaimuimba Wema? Acheni kuchonganisha watu bwana,kusema neno lolote Diamond basi linalenga flan aaachen upuuzi
ReplyDeleteaaaah achen mambo yenu bhana mtu kutamka maneno 2 bhas katajwa wema. kitu ambacho kikotofauti kabisa
ReplyDeletebwana mliyeachana akikufuata fuata kwa vijembe ujue bado anakupenda ila anashindwa kukurudia kwa aibu aliyokufanyia kwahiyo dada tulia huyo anaumia akiiona wenzie wanakufaidi
ReplyDeletendio kataja mwisho wa wimbo tuache tulale na rejea na yale maneno waliyomrekod wema yeye na peny inshort diamond ni mswahili sana poja na exposure yote hes nobody than a duck head
ReplyDeleteHuyo wema ni nani mpaka aimbwe yeye kilasiku? Muacheni diamond wa watu na muache uchonganishi
ReplyDeleteNORMAL SANA NO BEEF
ReplyDeletesiiiimpo
ReplyDeleteNani amenunaa nauliza nani amenunaa.. Ngoja nilalee!
ReplyDeleteWatu wa bandia, maisha ya bandia
ReplyDeleteNYIE MNAKAZI? MISHAHARA YENU INAWATOSHA? HAMNA CHANGAMOTO KATIKA MAISHA YENU BINAFSI MKAPAMBANA NAZO KULIKO KUPOTEZA MUDA KUONGELEA MAISHA YA WATU?
ReplyDeleteSIMPENDI HUYO DIAMOND KWANZA ANAJIONA YEYE NDO KIDUME...WAMWACHE WEMA NA JINA LAKE ZURI NAAMINI NI MWEMA PIA KAMFUNDISHA KINGEREZA SASA HIVI KILA SIKU KUMSEMASEMA AJIRUDI KAMA BADO ANAHISI ANA MAPENZI NAYE
ReplyDeleteINAONEKANA VYA KUONGEA VIMEISHA HUMU...
ReplyDeleteJamaa kamega kaacha,leo yuko na P,wema nini tena ? Endeleza wachina mama ya kiafrika huyawezi,anayebisha atakua chiiiiiz
ReplyDelete