HUYU NDIE MWANAMUZIKI BORA WA BONGO FLAVA?

Huyu ndie mwanamuziki bora wa bongo flava?

A.Ndio
B.Hapana
C.Sina uhakika
Tags

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. A

    Kama kunamtu anabishaa atakuwaa mchawii tuuu na roho yake mbayaaaaaaa halaaaa.

    ReplyDelete
  2. Anajua sawa ila kuna bora zaidi yake.. Promo zinambeba coz ameweka chanel nzuri.. So JIBU NI "B"

    ReplyDelete
  3. B:hana sauti nzuri akipiga show anategemea backup cd so cio msanii bora hata kdgooo

    ReplyDelete
  4. huyo nimburula tuu

    ReplyDelete
  5. Msanii bora kwa kuimba nyimbo na biti za watu.

    ReplyDelete
  6. ukitoa promo,kick na michezo michafu bora ni mmoja kati ya hawa, ali kiba belle 9 au ben pol.
    other factor remain constant angalia talent.

    jibu ni B.

    ReplyDelete
  7. MISIFAA KWENYE JUKWAA HANA LOLOTE

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad