INASIKITISHA:SHULE HIZI ZA SECONDARY ZIMEBAKI MAJINA TU..KULIKONI?
6
September 27, 2013
Wakuu shule kama tosamaganga,ifunda tech,malangali,moshitech,galan os,pugu,weruweru,ashiragals,bw iruboys,bwiru boys,zimepotea kabisa katika taaluma wakuu tatizo ni ni ni? ,shule hizi zinachukua wanafunzi wabovu sana,mazingira mabaya,walimu hakuna au tatizo ni ni ni wakuu sababu hata katika nafasi 30 kitaifa hizi shule hazipo wakuu tatizo ni ni? kuna mjomba wangu kasomea puguboys miaka ya 70 ananiambia pugu ya miaka yao ilikuwa hatari walikuwa wanawazidi mpaka special schools now hichokitu hakipo kimebaki historia
Tags
Tatizo hapa ni hawa wasenge wa ccm,mikundu yao imetepeta kiasi cha kushindwa kuongoza nchi.Dawa ni kuiondoa ccm,nina hakika midume ya chadema itarudisha elimu bora kama zamani.
ReplyDeleteKikwette aliyepata division mbovu mbovu akiwa shuleni ma gentlemans digree hapo mlimani atajuaje umuhimu wa elimu? Tangu lini mkwere akathamini elimu badala ya ngoma?
ReplyDeleteKuna mgogoro mkubwa kat ya walimu na serkali
ReplyDeletewalimu ndo kila kitu,shulen
loose or win is about teachers first
Kikwete kashindwa kila kitu,amejikatia tamaa sasa anatalii dunia kwa kwenda mbele
ReplyDeleteU know politics never match with academics, wanasiasa cku zote mi wanaharamu hawana future na jamii wanayoiongoza they look after their interests am ilborian itz alwayz pains me jins shule angu inavyopotezwa na wanasiasa, mtabuzi fuck u kibaraka wa siasa ww MUNGU IBARIKI ILBORU
ReplyDeletenenda katawale wewe kama unafkiri ni rahisi
ReplyDelete