Web

IRENE UWOYA "NTAPIGANA NA SHIGONGO MPAKA TONE LA MWISHO LA DAMU, NTASEMA KILA KITU KWANINI ANANICHUKIA"

Msanii wa filamu nchini Irene Uwoya ameendelea kumshutumu mkurugenzi wa Global Publishers Erick Shigongo kwa kumchafua na kuahidi siku moja kuongea na kuweka wazi na ushahidi kila kitu kati yake na Shigongo.

Kupitia akaunti yake ya Instagram @irenewaferegola8, uwoya ameandika:

“Ipo siku ntaongea ukweli kuhusu shigongo na ushaid pia ntatoa…usilo lijua nikama usiku wagiza ndomana atawadanganya wasio na akili na wasio mjua….ntapgana nae mpaka tone la mwisho la damu yangu ntasema kila kitu kwanin ananichukia…na ntaweka kila kitu waz….den wenye akili watajua naongea nin…simuogop atakama atanichafua kiasi gan…hizo kwangu ni matone yamvua bado mvua yenyewe…I don care kwaatakae muamin but mwisho wa siku ukweli utaonekana na atataman ardhi ipasuke……mim irene uwoya sijashawishiwa na mtu wala kulazimishwa nahaaidi ya kwamba ntaongea kila kitu btwn me n him….eeh mwenyez ? MUNGU nisaidie. “


Shutuma hizi zimekuja baada ya gazeti la Risasi linalomilikiwa na Global Publishers katika ukurasa wake wa mbele Jumamosi iliyopita kuandika habari yenye kichwa cha habari ‘UWOYA MBARONI KWA WIZI WA SIMU’, na baadaye Irene alipost Instagram picha ya gazeti hilo na kuandika:


“Minimti wenye matunda milele siogop kupigwa mawe…shigongo kamua kunichafua coz nakes nae mahakaman…anadhan ntaiacha never yeye aponde anavyoweza ila mwisho wasiku sheria iatafata mkondo wake….minayake mengi nayajua ila ngoja ninyamaze nisimwagiwe tindikali”

Imeandikwa na Bongo5

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Inawezekana kuna siri kati ya Irene na Shigongo, kwa vile Irene amekuwa akikwapuliwa na kila mwenye hela hapa mujini, kwa hiyo Shigongo akiwa mtu mwenye nazo huenda naye alishwahi kumwakwapua ndiyo maana mwanzoni magazeti yake yakawa yanaandika sifa nzuri za Irene kila mara, mpaka wakafikia kuwa wasuluhishaji wa ugonvi baina ya Irene na mumewe. Ila ugomvi mkubwa baina yao sasa hivi ni pale global ilipotoa siri ya Irene kugegedwa na Diamond usiku mzima kule hotelini wakitoa na picha wakati Irene anaingizwa chumbani usiku na wakati anatoka chumbani kesho yake asubuhi baada ya saa kama kumi na tatu hivi, na wakaahidi kuwa hata akitaka video watatoa waziweke Youtube. Hata kuma kuna siri baina yao, tukio la Irene na Diamond halikuwa la kusingiziwa kwa vile hata Diamond na marafiki zake waalishakiri kuwa kweli Irene aligegedwa siku hiyo, na hata gazeti jingine kabisa la Sani pia lilithibitisha kuwa aligegedwa bila kondom. Kwa hiyo Irene hakuchafuliwa makusudi bali ni tukio halisi lililotokea. Halafu hili la kupelekwa polisi kwa wizi wa simu pia siyo tukio la kubambikiwa kwa vile hata magazeti mengine kama Sani pia yalithibitisha na kutoa picha za wakati Irene akiwa ndani ya kituo cha polisi; na yote yametoa case number ya tukio hilo. Nadhani dada yetu Irene inabidi ajiangalia tena. Kuna makosa mengine ni kama kilema, ukiyafanya yatabakia kuwa sehemu ya maisha yako; nadhani kwa Irene kugegedwa na Diamond akiwa ameolewa ndicho kimekuwa kilema kikubwa sana kwake kwa vile Diamaond ni jina kubwa sana katika nchi, labda itokee kuwa Diamond aamue kumuoa. Angegegedwa na mtu wa mtaani tu huenda hata hakuna ambaye angejua. Kwa hiyo kwa Irena ni lazima akumbuke usia aliotuachia Mzee mchonga kuwa kupanga ni kuchagua.

    ReplyDelete
  2. Kwendraaaa ushafulia ww

    ReplyDelete
  3. Ww uliyecoment hapo wa 1 juu ni shigongo mwenyewe mwache dada wa ws2 ww si mlokole ww shigongo ? Yaleyale ya amina chifupa jaman shigongo mgeukie muumba wako

    ReplyDelete
  4. Tatizo vioo vyetu vya jamii vinatumia wana nchii na mashabiki kumake headline na umaharufu zaid. Hzo mambo wanajuana wenyewe

    ReplyDelete
  5. wewe nenda. kauze sura kwenye TV utamweza shigongo ww mmekali wizi iiloo jizi.m.ng.machimkenda

    ReplyDelete
  6. ck ya mwisho wa kwanza atakuwa wa mwisho na wa mwisho atakuwa wa kwanza mungu hataniwi.pole irene ntakupenda milele.angalia na huko kwenye tv show ucharibu napo kuna jinamiz

    ReplyDelete
  7. Hahahaaaaa!kz kwel kwel!kama kweli yalotokea irene uliyafanya kweli basi tufanye yamepita,wawezafungua ukurasa mpya!hakuna bdam alokamilika!funika kombe mwanaharamu apite!nanyi watu maarufu jitahidinisn kua na privacy na kujiheshimu pia!ww ni mke wa mt halafu waenda kutembea na kitoto!

    ReplyDelete
  8. irene ucjali my dada..much love kwako...shigongo watchout bhana,,..ntakuchukia! nitafute humu nikupe mchongo wa ku...065242677-.....! 2ishi kwa amani jamani...mwanamke hasemwi wala hapigwi guyz...y lkn..??????

    ReplyDelete
  9. uliyecomment 1 i gv u 100%

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mnajuana nyie kwani ww shigongo hujala? Unachukia nn dogo kumega sasa.

      Delete
  10. afu kwa bahat mbaya xana shgongo sio mwndsh wa izo xtry,,kngne me naona bora global wanavowaanika ujnga wao cz waxanii wnywe hawajheshmu!na kuishia ksema atayaanika mabaya ya shgongo lini!!do it now bas..izo laana za mumeeee

    ReplyDelete
  11. mmmmh makubwa jaman hata kama lakin irene siyo wa kwanza kufanya aliyoyafanya isiwe ishu kubwa kias hicho, mwaya da irene wakuache tunaokupenda tutakupenda wasio kupenda wakuache kama ulivyo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad