Ukurasa wa mbele wa gazeti la Risasi la leo Jumamosi (Sept 14) umetawaliwa na habari inayomhusu msanii wa Bongo Movie Irene Uwoya yenye kichwa cha habari “UWOYA MBARONI KWA WIZI WA SIMU!!”.
“MSANII aliyewahi kutamba kisha kuporomoka kwa kasi katika tasnia ya filamu nchini Tanzania kwa sababu ya tabia zake chafu, Irene Uwoya, amefikishwa Kituo cha Polisi Msimbazi kwa wizi wa simu aina ya iPhone 5.
MAMBO yanaendelea kumwendea kombo mwigizaji huyo huku akiwa ameanza kuporomoka vibaya kwenye sanaa na kujikuta akiingia matatani kwa tuhuma za aibu.
Uwoya ambaye siku hizi anajitutumua kwa kuanzisha kipindi kwenye runinga moja ya Bongo baada ya kushindwa kwenye filamu, alidakwa na askari wa Kituo cha Polisi Msimbazi, Dar baada ya kusakwa usiku na mchana kwa kutumia kumbukumbu ya jalada la kesi namba MS/RB/8522/13 WIZI KUTOKA MAUNGONI.”
Katika kujibu tuhuma zilizoripotiwa na gazeti hilo, Uwoya kupitia akaunti yake ya Instagram leo amepost picha ya ukurasa wa mbele wa gazeti hilo wenye habari hiyo pamoja na maneno yafuatayo:
“Minimti wenye matunda milele siogop kupigwa mawe…shigongo kamua kunichafua coz nakes nae mahakaman…anadhan ntaiacha never yeye aponde anavyoweza ila mwisho wasiku sheria iatafata mkondo wake….minayake mengi nayajua ila ngoja ninyamaze nisimwagiwe tindikali”
IRENE UWOYA "SHIGONGO ANANICHAFUA KWENYE MAGAZETI YAKE SABABU NINA KESI NAYE MAHAKAMANI"
20
September 14, 2013
Tags
Ungekanusha kama hujaiba ningekuelewa, saa hii ndo nini? mwenzio anauza udaku ,mambo ya kesi ni mahakamaniiii, tueleze iPhone yako c yako baaaasi!
ReplyDeleteas for mti wa matunda mi nadhani matunda yaliishaga umebaki mti tu atapopoa nn sasa shogongo hapo? daah mdada umefikia mpaka kupiga dili za cm za kuibwa ama kweli hujafa hujaumbika.
Hiv huyu shigongo mm huwa simuelewag jamaa halafu anajifsnya mlokole alimuandama Amina chifupa mpaka akafa
ReplyDeleteKweli kabisa mdau naona sasa hiv anataka kumua uwoya alimsakama Amina kwa sababu alimkataa na uwoya kamkataa sasa anataka kumuua kwa kumdhalilisha
DeleteHiv shigongo dhamira haikusuti unajifanya unamjua sana Mungu na huku unachafua sana watu mpaka wengine wanajiua? Utaenda kulipa kwa Mungu wako
DeleteMimi simpendi kweli shigongo nani akupe ubunge mnagiki wew unachafua sana wasanii na watu wengine wenye majina .halafu kwenye magazet yako yasioenda shule kama ww mwenyewe eti unstumia slogan ya 'we belongs in God' nyooo Mungu unamjua wewe unawaumiza wenzio
DeleteHuyu Shigongo ndo alivyo alimzushia uongo Ommy Dimpoz hadi akapigwa mawe jukwaani,shenzi sana huyu mbaba
ReplyDeletemmmh,mi napita tu,ukweli wanaujua wao wawili!
ReplyDeleteMdada usijali huyu jamaa ameshaishiwa kabaki kuwa kama mwanamke mwenzio mtafutie bwana ndo atatulia!
ReplyDeleteHakuna mlokole huyu anawadanganya wakristo wenzie ikibidi tuanike machafu yake.
ReplyDeleteTehe,tehe,tehe, ampe dudu amwache japo dudu yenyewe imebunguliwa bunguliwa mpaka basi
ReplyDeleteTehe,tehe,tehe, ampe dudu amwache japo dudu yenyewe imebunguliwa bunguliwa mpaka basi
ReplyDeleteDada kaza buti songa mbele jamaa kama hawa wapo wengi sana hapa Tanzania kwani wanataka kutajirika wao tu Keep it Up! Ommy Dimpoz yuleee ni TOPOGO yake
ReplyDeleteShigongo kiboko yake Mange Kimambi hadi alisalimu amri kama mnakumbuka enzi za blog ya ze utamu Mange alimtia adabu huyu kuandama wadada wa watu yaani ukimkataa ni kosa khaaa...
ReplyDeleteMange hana tofauti na shigongo kwa kuabuse watu kwenye blog yake is all about bully
ReplyDeletewe belongs to god!!!! kwi kwiii
ReplyDeleteUmburura Wako na umalaya Wako ni mtaji wa watu endelea na skendo eti mti wa matunda pyuuuuuuu!!!!!
ReplyDeleteWadau mi siko kwa upande wowote kati ya hawawawili.Ujue siku zote lisemwalo lipo na kama halipo basi lipo hapo kwenye kona.Kuhusu Dadaetu,mmmh sina comment kwani naye skendo kwake ni kawa na mbaya zaidi aliacha hoi pale tu alipomkimbia mumeweeti kisa usanii.Kumbe ndo kaaribu kabisaaaa via huo usanii.Na huyu ndugu Mheshimiwa Shigongo,mi nadhani hawa waandishi wake hawa,watamfikisha pabaya.Kuwa makini Shigongo,ni hayo tu.la Dada Irene kama una uhakika ujiiba hiyo iphone5 ya watu weka wazi ujioshe kwa mashabiki wako.
ReplyDeletenever mind my dear uwoya!much ♥ for u.....,ukweli unaujua wewe
ReplyDeleteKama hamjui kaz ya magazeti ya udaku mnyamaze, kama irene kasema anayajua mambo yake kibao nyie mnadhanije, think big guys
ReplyDeleteduuu! ukwel wanao wao na mungu wao sie tutajisumbua bure.
ReplyDelete