JOKATE AELEZA SIRI YA WANAUME KUMGANDA

Na Jelard Lucas
MREMBO anayefanya vizuri katika mambo mengi nchini, Jokate Urban Mwegelo (pichani) ametaja sababu nne zinazowafanya wanaume kumzimikia, akiwemo nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’.

Akiandika katika mtandao wake wa Kidoti Life Style, Jokate, mshindi wa pili wa Miss Tanzania 2006, alizitaja sababu hizo kuwa ni kujiamini, kujitegemea, kupendeza na tabasamu muda wote.
“Kujiamini ndiyo sababu kubwa ya kwanza inayonifanya nipendwe zaidi, hamna kitu kinachowavutia watu hasa wanaume kama kujiamini,” anaandika Jokate.
“Kujitegemea ni sababu ya pili, binafsi naamini kwamba hakuna kitu kinachowaboa wanaume kama mwanamke ambaye anapenda vitu vya kupewa. Ukimuonesha mwanaume wewe unapenda kutafuta vyako, basi jua atakupenda zaidi.”
Jokate alisema sababu nyingine inayomfanya kuwa kivutio kwa wanaume ni kupendeza katika mavazi, hasa kwa kuvaa nguo zenye rangi ya kuonekana.
Sababu nyingine aliyoitoa ni tabasamu, akiweka wazi kuwa tabasamu linamfanya aonekane mrembo zaidi.
Gazeti hili liliwasiliana na Jokate kuhusiana na maandiko hayo ambaye alijibu; “Hahaha….sina comment hapo aisee…”
Jokate pia ni mwanamitindo, msimamizi wa shughuli mbalimbali katika kampuni yake ya Kidoti iliyozinduliwa mwaka jana.

SOURCE:GPL
Tags

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jokate kuwa na roho ya huruma,umekojolewa na ..... Karibia mwaka mzima,feel sorry for mijanaume yenye tamaa isiyojali maisha Yao.plseeee kidoti.

    ReplyDelete
  2. Changu kama machangu wengine mbona huolewi sasa

    ReplyDelete
  3. wanaume wa bongo ,alayaaaa hata awajali afya zao,mtu kawekwa kimada mwaka mzima na .....bado hilo hawalioni wanazidi kumkojolea tu,arggghhh

    ReplyDelete
  4. .a.k.a ROBOTI DE MASTER from MAROBOTI UNIT


    nikweli kabisa ila amesahau macho na umbo lake yaani hapo mi ndo nadataga kabisa ningekuwa na uwezo ningemtongoza ila ndo ivyo tena

    ReplyDelete
  5. Sasa mnavyosema hvyo mna maana gani? Ana umwa au?mbona kinaonekana na afya nzuri..?Lakini hivi jamani hawa wanaume wanaonaga nini kwa huyu demu?Kha!Mbona kuna wasichana wengi wa kitanzania wazuri wapo kimya.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na kweli mdau sio mzuri kabisa jina tu ila ni wa kawaida mnooooioo

      Delete
  6. Ukimuona live wakawaidaaaaa mi sioni cha ziada hapo.

    ReplyDelete
  7. Cha ziada katembea na 2 millionaires in dar,wewe umetembea na nani mwenye fweza?

    ReplyDelete
  8. Sasa one of milionea aliomlala Mbona hakumuoa?kenda oa shoga yake.milionea wengine mbulula kweli.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama kitandan gogo millionea afanyeje mwanamke maujuzi babu wee

      Delete
  9. ahahahahaha
    ...........!jaman

    ReplyDelete
  10. watu mnamanenooooooo. Duh! sinatatizo na Jokate na comments zake zinaukweli ndan yake, jaman jibun comment sio maisha yake halis, msihukumu msije mkahukumiwa. Na yeye n binadamu hajakamilika, mnamchambua kama mnamjua jaman

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad