JOKETE AFUNGUKA INSTAGRAM KUHUSU UHUSIANO WAKE NA LUCCI.

Okay leo nimeamua kupitia page yangu ya Instagram ku-address the following pressing matters kwenye ulimwengu wa majungu. 1. Luciano Gadie Tsere is NOT my LOVER and noooo hatumegani kisela. Na hata kama it were true inakuhusu nini. Sioni ishu. Kwenye Sanaa kuna kitu kinaitwa kuweka uhalisia. And that's what we did na KAKA DADA. I respect Lucci. Ni kaka yangu na tunafanya kazi nyingi sana zinakuja. Kuna watu wanefungua mpaka BBM group to discuss me and Lucci and this so called affair. Jamani kuliko maneno tufanyeni Kazi kuendeleza nchi yetu 2. Sijifanyi mtakatifu. Ila najitahidi kufanya matendo yanayompendeza Mungu. Na kwasababu kama binadamu sina ukamilifu basi only God can really judge me cause ndio anajua moyo wangu kuliko binadamu yoyote yule. Ila I'm a pretty good girl to be honest. Najaribu. Kwa nyinyi walimwengu don't be fooled by my PRETTY BABY FACE I know what I want, am fierce and I don't take trying to tarnish my image easily. So kindly don't mess with KIDOTI. Msione mtu mkimya mkajua ndio wa kumuonea. Still waters run deep 3. Yes there's some guy I'm checking out. Like any other female I deserve love cause I got so much love to give hey. So whoever it is tafadhali tusiharibiane kwa maneno maneno. Have a blessed evening!!!..
Tags

Post a Comment

25 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. lin ulishakubali una mahusiano na mtu fulan? kumbuka hata diamond ulimkana bibi wee!!!!

    ReplyDelete
  2. Ay,fa,maximo,hashim thabit,Reginald mengi,diamond ,mkurugenzi wa crdb..... Na wengine wengii jocatee ur a silent bitch alafu mlokolee hahahahahah

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kamalaya kweliiii msikaone hivyo.kapole?mbuta nanga.

      Delete
    2. Haki ya nani mi nakula yamini lazimaaaa katakojolewa na lucci.

      Delete
    3. Kakojolewa na mengi na kimei?mbutaaaa,pesa ni Nyokoooooo,huna maana wewe kiumbe unayeitwa PESA,kinases Nina wallahi.

      Delete
    4. hivi ana miliki asset zipi huyu kiumbe maana ho mababa mliotaja ilibidi awe juu ya wema sepetu

      Delete
    5. Mama weeeee,na Mimi Nilikuwa najiuliza Hilo swali,Amina chifupa alitembeaga na Mmoja hapo juu,akanunuliwa nyumba ya million 300 masaki,baadae Amina(Mungu amlaze Pema)akawa anatoka na......,basi mzee akakasirika akamnyanganya document za nyumba.

      Delete
    6. taja jina la huyo mzee tumtafute tafadhali au anapopatikana kwa sasa

      Delete
    7. Wadada wa mujini tamaa mbele mahuti nyumba.kwahiyo unamtaka huyo baba?msonyo

      Delete
    8. namtaka ndio kifo kaumbiwa binadamu na mnyama cha ajabu kikowapi fala wewe?

      Delete
    9. Sasa mrithi wako atakuwa nani?na huku kila Siku unatoa mimba?hili jibu ni kwa Huyu dada anayemtaka mbaba aliyetembea na joketi.

      Delete
    10. mrithi watakuwa ndugu zangu bwana mbona unapotezea mada au we ndo kidoti mwenyewe we jibu huyo bwana anapatikana wapi sie tukajilie raha kama ulishindwa kula na kipofu shaurilo wacha wenzio tujaribu bahati akuu nani anapenda kufa maskini bibi wee

      Delete
  3. Kahuni ka kisirisiri haka!kaoneni tu.eti baby face..jamani mbona ñaona umekomaaa!

    ReplyDelete
  4. Usitumie mwanvuli wa dini kujitetea!kama kwel wamuogopa Mungu ishi kwa misingi ya dini!

    ReplyDelete
  5. hakuna aliyemsafi mwacheni Kidoti, mtoto huyo very innocent huwezi kumlinganisha na madem wa bongo, hata dimaond alishasema alikadanganya haka katoto kako innocent achen kumwaribi sisi tunatak akuoa hapo na mie ndo wifi mtu mkome jamani!

    ReplyDelete
    Replies
    1. eti diamond kakadanganya, kwani ana utoto gani huyo? how old is she, she is more than 20. angekuwa mtoto angewabebaje hao mababa wote. chip prostitute.

      Delete
    2. shes 28 years old hivyo sio mtoto la hasha wala binti

      Delete
    3. Kwa wanaomfahamu jokate jibunii swali jokate Ana asset zipi za maana?maana hao wazee wawili waliomkojolea ni mabilionea.

      Delete
  6. For Me cheap popularity...amefulia Lucci ana mke...Acha kuipa mashaka ndoa ya watu...imagine we ndo ungekuwa unafanyiwa hivyo...bitch girl

    ReplyDelete
  7. Mke wa lucci chunga Mali zako hakiyanani joketi atamlala mumeo,mark my word.

    ReplyDelete
  8. Wabongo Mbona mnapenda kushare mabwana?Nasikia lulu wa jelajela,mercy,na wema wametombwa na bwana mmoja,ni mtoto wa mmiliki wa jengo la haidery plaza,mercy sasa hivi kapigwa mimba.mbuta nanga,pesa nyoko kweli.na haka kalulu kamalayaaaa 18 years.duuu,mi nilivyokuwa 18 Nilikuwa bado bikira.

    ReplyDelete
    Replies
    1. watatombwa ila pale mke nu mercy kamshika haswa bwana kampiga marufuku kuwa na wema na bwana katii kwan alienda kufanyafujo kwa haidari akavunja vunja vitu na gari ya haidari mpaka baba yake akaja cgezea mercy weweee haidari mbona katuliza pumbu chini mweh

      Delete
    2. lulu anapenda maisha ya maonyesho kuwa yuko juu bado atunze na familia hivyo kutombesha ni lazima,halafu naona haziivi sikuhizi na director joan sijui tatizo nini

      Delete
  9. Jokate kaliwa na baba na mtoto . Angalia lucci dogo huyu akienda mtv south na nijeria anamegwa sana huko na dizonga kuna ukimwi hatari. wazee wa mjini wanamsemo ukimwi ni kama malaria.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad