KANITESA SANA BINTI HUYU MPAKA KASINGIZIA ANA UKIMWI ILI TUACHANE LAKINI SIKUMWACHA..ILA SASA BASI

Dear admin mimi ni mvulana mwenye miaka ishirin na mmoja,nilikuwa na mpenzi wng ambae nilimpenda sana,akataka nimpeleke paka kwetu kwa wazaz wng. Nilimpeleka na nika mtambulisha wazaz walifurahi kumuona na walimpenda sana,mimi na huyo msichana tulikuwa na malengo baada ya mimi kumaliza chuo tuje tufunge ndoa.baada ya chuo kufunguliwa ilinilazimu mimi kusafili kuelekea masomoni mkoan ( )siku moja usiku. Nilipga cm yake ikawa haipokelewi, baadae cm nahc ilijipokea nikasikia yuko na mwanaume chumbani wakiongea, ilikuwa km majira ya saa saba hv ucku,kesho yake asubuh na mapema nikampgia nikamuliza aka kanaa,kadri cku zilivyo zidi kwenda ika fika kipindi akaniambia kwamba nisimpigie cm ucku huwa analala mapema, nikasema ok sio kes mamaa, baada ya cku km tatu akanipgia cm akidai kuwa ana ujazito,kwa kwer taarifa hii ilinisitua sana! Nilimuliza ujauzito huo ni wanani? Ni wa kwangu? Aka niambia hapa sio wako ni wa mjamaa flan hv yuko bandari na anataka kuniowa,sio siri nilisikitika sana, nilivyo muliza kwann umeamua kunifanyia hvyo? Akasema maisha coz naitaji niwe na kwangu na nimeona wewe utachelewa paka umalize chuo miaka mitatun me nimeshindwa.nikajaribu kubembeleza lkn wapi, badae nikasema poa kwa kuwa sina jinsi coz n mm ni mwanafunz wa chuo alie mpata yuko bandali anapga kazi mimi nikamwachia, Mungu, ajabu baada ya miez mitatu yule mwanamke akanipigia cm akiomba msamahaa nimsamehe yule alikuwa ni shetani tu anaomba turudiane,kwa kwer ilikuwa ni vigumu sana kukubali kwa kuwa moyo ulisha change badae nilimuonea huruma nimwambia ts fine nakupenda na tutakuwa pamoja. Baada ya miez miwili kupita akanza tena tabia yake na safari hii akaja na mbinu mpya kbs nakumbuka sku moja alikuja kwangu jion akaondoka kurud kwao tegeta, baada ya wiki km tatu kupta nikawa nampgia pgia cm usku akawa hapo kei,nilipo muliza kwann cm yng upokei cku hz ucku? Akaniambia maisha yamekuwa magumu ckuhz natoka na wezangu tunakuwa bugulun kimboka tunajiuzaa, he! Nilishtuka xana,nikamuliza kwann ukuniambia mapema km umeanza tabia chufu hyo,? Akaniambia ndo hvyo kama umeridhika bas tuendelee kuwa wapenzi nikamwambia poa nimeridhika wala usjar mama,alipoona njia hyo ime feli kuwachana nami,akatumia njia hii nakumbuka ilikuwa ni juma tano sikumbuki tar alinipgia cm na kudai hali yake sio nzur amekwenda kupima maleria kambiwa hana doctor kamwambia aka chek H.I.V, nikamwambia poa nenda kapima then nijulishe, kesho yake asubuhi akanipigia akiwa analia kwamba yuko HIV positive. Haa! Nilishituka! Nikamwambia umeniuwaaa, akasema hapa unakumbuka mara ya mwisho kuja kwako nikamwambia ndio ni wiki 3 zimepita akasema ndio baada kutoka kwako that day nilitembea na mzee flan alichana kinga yy ndo amenipa, kwa haraka haraka cku amin,but me nikamwambia even if umeathirika mm nko tauari tufe wote kwan hakuna atakae baki,huku nikiamin anachosema pasipo kujua alikuwa anatafuta mbinu tuachene, bas ikaenda alivyo ona njia zote zimeshindika akamua kuniambia tena kwa mara nyingne, j unajua wewe bdo uko chuo kwahyo maisha yamechangia mm kufanya hv sasa nimepangiwa chumba natimiziwa maitaji yote nayoyataka, nikachoka sana,mh! Nikasema haya majanga punde si punde nikatumiwa sms na mtu ambae simfaham ili kuwa inasema hv" nimetambua upendo wako kwake“ nikampgia helo nani mwezangu,akasema mimi ni bwana ake alie kuwa demu wako kwasasa sio wako nagalamia miyee,nikamchanga mkia kutokana na ukalim nilio lithi kutoka kwa mama,nikamwimbia niambie ujambo wewe, akadai yuko offic akitoka atanitafuta, nikamwambia ok, baadae akanipgia, helow vp mimi naitaj tufamiane zaid, nikamwambia poa nikamuliza uko whasup,bbm,au mtandao wwte wa kijamii akadai yuko fb nimtafute nikamtafute tukawa tunachat,mimi nikaona haina haja ya kuendelea kuwa na huyo mschana nikamua kuachia ngazi tu waendelee wao km umaskin wa kifadha ipo cku utakwisha kwan mbuyu ulianza km mchicha, au nimekosea jaman? Nishaurini.

By Julius Liwenga
Tags

Post a Comment

24 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Aisee ng'ang'ania tu.

    ReplyDelete
  2. Haya ni majanga ya mapenzi.Kama hamuendani kitabia hata mngependana vipi,iko siku mtaachana tu.Na kama anakupenda kwa dhati ni lazima angevumilia umalize chuo.Najua inauma lakini usifanye mambo kwa pupa.Utampata atakaye kufaa zaidi.POLE SANA NDUGU YANGU.

    ReplyDelete
  3. Endelea kumng'ang'ania tu mpaka umuoe ila siku atakapokukodoa majambazi waje kukuua ndo utaenda ahera na akili na atakuletea wanaume wake ndani utakomaje sasa n majanga!!!

    ReplyDelete
  4. Najua moyo ikishikilia kitu hua hautaki kuachia,ila una tabia ya kusahau, haya mabo yanatukuta wengi na lazima ukubali kuwa ktk dunia ya leo upendo wa kwel haupatikan kirahs,..

    ReplyDelete
  5. Karibu ktk ulimwengu w kutendwa na wanawake,maana naonyesha we mgeni huku,c mda mrefu utawazoea hawa viumbe, wenzio huku tushakuwa wenyeji

    ReplyDelete
  6. Duhh pole kaka hata mm imeshanitokea hiyo, na hv ninavyoandika hii msg sina hata wiki mbili tokea huo mkasa unikute, yaan hapa kama umenitonesha kidonda vile!! Ila anyways napiga moyo konde!!

    ReplyDelete
  7. Dah! huyo binti hakufai ndugu kwani inaonesha hana mapenzi na ww inafikia anakwambia kaathirika sasa wa mchezo huyo, achana nae komaa na masomo kwani hizo fedha alizo kuwa anazitaka huyo demu ndo zinapatikana hapo, ila pole sanaa!

    ReplyDelete
  8. Nampa bigup uyo dem ndo mkome maana wanaume mmezid kucheza na hisia za wanawake.wangepatikana wanawake mia kama uyo mngeshika adabu zenu washenzi nyie.

    ReplyDelete
    Replies
    1. pole sana dada yangu, inaonesha umetendwa sana.sio kila mwanaume ni mbaya, unabahati mbaya tu ya kupata masharobaro,tafuta mwanaume mwenye kujua thaman ya mwanamke

      Delete
  9. hahahahaha kuna mijitu imepinda humu

    ReplyDelete
  10. Sio imepinda michizi yani m2 anaomba ushauri baada ya kumpa ushauri wa maana yeye analeta kejeri sasa mzima huyo? acheni habari hizo bhana!

    ReplyDelete
  11. Duh pole sana ndo maisha afu wengine humu ndan mnahitaji kuwaishwa milembe aisee ushuz kabisa..

    ReplyDelete
  12. achana nae lazma atakuja kukuumiza zaidi.

    ReplyDelete
  13. Hahahahahaaaaaa....haaaahaaaa!!!! Uwiiii..mweee heheeee jamani mtanivunja mbavu mie uuh! Lkn nawee jamaa utakua unaumwa ndo wanavopendaga ivo shenzi

    ReplyDelete
  14. Dogo umechelewa sana kuchukua maamuzi, mbona binadamu tupo wengi nikimaanisha WANAUME / WANAWAKE hakuna haja ya kurisk maisha yako kwenye penzi lisilo na tija bhana unakuaje..? ohhoooo.... shauri zako.

    ReplyDelete
  15. vile umeanza nilijua ni true story,ila wakati wa kumaliza nimegundua siyo kweli
    Hata hivyo umejitahidi lakini binti aliyekuwa amekusaliti akaenda mtaaani kuhangaika,na baadaye maisha yakamgonga akarudi kwako kukuangukia na kwa moyo wako ukamhurumia, siamini hata kama akijaanza uhuni tena esp wa kujiuza akakuambia laivu kwamba nimetoka kujiuza

    ReplyDelete
  16. Wewe unaempa bigup huyo shetan pumbavu,unawakataa wanaume wanoo kupenda unawang'ang'ania masharo chapailale,wakikumwaga unaanza kuwalaum wanaume,!!!utamwagwa kila ck chezea mablaza man weye..

    ReplyDelete
  17. Wewe achana na huyo demu kama nikwel usemayo,utakuja pata sup bure hafai huyo manzi ktk jamii

    ReplyDelete
  18. Hakupendi hata kidogo achana nae kabisa huyo.....

    ReplyDelete
  19. Achana nae ndugu ukiendelea presha kisukari vinakunyemelea mwombe mungu yupo wako huyo sio

    ReplyDelete
  20. mademu siku hizi CHAPA ILALE tu hakuna mapenzi ya nakupenda

    ReplyDelete
  21. Mwanangu leo nimeamin sisi akina julius tunamikosi katika mapenzi.nina uhakika yeyote anaye itwa julius anajua kupenda.mwanangu pole sana mm mwenyewe julius saiz mpenzi wangu 2liye panga meng kasha olewa.nimempata mwingine naye mmmh nipo hatian hatian.

    ReplyDelete
  22. Ndugu yangu,ww ndo mara ya kwnza kuwa na hawa wadudu? Usijaribu tena kumwamini mwanamke kwa 100%,hawafai tunaish nao tu basi maisha yasonge...bora ww kuliko yaliyonikuta mimi,kwni nna hamu nao tena? Nimekoma kupenda.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad