KUMBE HIZI NDIZO SABABU ZA WANAUME KUTOTAKAKUWAPELEKA MADEMU ZAO WANAPOISHI

Wadada wenzangu msione una mtu wako mwaka, miwili na zaidi katuuuu hakuoneshi kwakwe thubutuuu yako mkajua labda kaoa, ama anaishi na mtu so anakuzingua la hashaaaa! Wamuonea bureeeeeeeeeee maskini ya watu! Ukitaka kukorofishana na mwanaume mkomalie akupeleke kwake, anakuwa kama mbogoooo! Utashangaaaa! Ama atakuzuga anaishi na rafiki yake bonge ya ghetto! Kumbe getto la mchizi yeye kadandia tu!

Basi wanaume imekuwa appointment za bar, mahoteli na hukumu zote kufanyika lodge ama hotelini kama ndo mahakama ya mahusiano!!!!!!!!!!! Mkitaka privacy mwepesi kutoa ile 40,000 sijui (Manake mie sio mzoefu! lol!) hata wiki mjifungie chumbani ila sio akupeleke kwake! Mikutano ni juu kwa juu kila mtu aende kwake salamaa! Na kama mdada una kwako basi ndo hakauki humo, akitoka kazini lazima apitemo na kupiga menu kabisaaa! Sio kwamba nawananga ndo tabia zenu wengi wenu! Baby nyingiii kwenye sofa lako, na tiles zako! Twende kwako sasa husomeki!!!! Washika remote control kabisaa kubadili DSTV ya demu wako!!!!!!!!!! Hahahaaaa! Hayanihusu bana mmependana! lol! (Hamkawii kunituhumu roho ya kimaskini na dhiki! lol!)

Basi mie pia nilikuwa nawafatilia ila sikujua kiundani haswaa nini chanzo mpaka shosti wangu juzi yalipomkutaaa LIVE!!!!!! Bi dada ana mtu wake mda mda tu kama 6month wakaanza kushibana, bwana afa kazi huko mnakoweka mifweza yenu! Msomi atiii!!!!!!!!! Sasa akawa hakauki pale kwa bi dada magomeni! Jioni huyu hapa! Mara alale mara aishie, hasomekiii! Na hivi oficer basi very smart! Mkononi ana kitu cha BB Q10, Rolex, inshort kajipangaa! Mikopo ya benki nayo ma ofisa wanatutetemshaje?

Bi dada sio mtu wa kuhesabu vitu vidogovidogo kama Lara 1, alikuwa anaona fresh tu, mradi communication ipo, na wanaona akihitaji hakustuakaaa! Wambea wakampasha LAZIMA APAONE ANAPOISHI!!!!!!!!!!!!!!!!!! Ukute ana mke je? Basi bi dada akaona kweli! Sio ndo kutaka akaoneshwe!!! Pigwa sound, pigwa sound! Mwisho akamwambia basi tuachane coz wewe kama huniamini vitu vidogo kama kunionesha kwako je vikubwa? Ikabidi Yahaya atoe ANGALIZO!!!!! Nakokaaa sio kuzuri, blah blah blah!!! Akaambiwa twende hata kama bondeni, tutajua huko huko!

Lahaulaaaaaaaaaaaaa! Balakati! Kumbe bondeni kweli!!!!!!!! Madogo lakini mazitooo! Bwana mtutoto ya Migo!!!! Kupitishwa huko kkoo mpaka kufika ndani, bi dada anasimulia vijidirisha vidogo vya juu! Nje kuna Minyau! HAHAAAAAAAAAA! (Zambi hizi!) Hapeleweki! Akasema hana hamuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!! Alijua mtu ofisa waanze maisha ila pale DANGER!!!!!!!! Akapata picha anaolewa anahamia mule! Hahahaaaaaaaaaaaa! Dada umempenda huyo! Aleleeeeee! Ayaya kuolewaaa utarudi kwenu kutembeaaaaaaa! LOLEST!!!!!! Nikamwambia tafuta stuli ya baa kuvitu vidirisha! LOL! (Msinune sanaa kumbuka mnaniambiaga nitazeekea home! Design hii naunga mkono hoja!)

Msijifanye mmepandwa jazba sanaaa na mie ndo mbaya sanaa kusimulia hii stori ila mkaka nae ana makosa! Japo nakubali nyumba dar ghali, vidole havilingani sawa ila yeye alitakiwa ASEME MWANZO KABISAAA! Uwezo wangu ndo huu! (I doubt angekubaliwa!) Sio kuleta janja ya nyani kujifanya wakishua baadae kujisalimisha na kumshock mwenzie! Spare me the sentiments za mapenzi sio nyumba, sio gari, sio shule, blah blah blah! Ndio sio hivo vitu sawa SEMA MWANZONI!!!!!!!!! Kusema katikati ushamislead mtu ni FRAUD ya hali ya juu!!!!!!!!!! Haikubaliki!!!!!!!

Wimbo wa Ngwea(R.I.P) Ni ghetto langu ndo linalowachengua maduuu! uwaburudishe 
===============
Imeandikwa na Lara1 kutoka Jamii Forums

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Acha uongo wewe.

    ReplyDelete
  2. Jamani huu ni uongooo binadamu gani aishi ndani ya pagale hili?

    ReplyDelete
  3. Umesema yoooooote lakini kama wanapendana kweli mbona hio c o issue whatever aseme mwanzo,mwisho dazn't matter, wewe na uzumbukuku wako unaweza kumuacha umpendae kwa issue kama hiyo bt kwa muelewa hiyo issue wanakaa pamoja na ina kuwa sorted out, hapo ni ushauri 2, wanashauriana na demu ana take lead kumuelekeza what to do as longer jamaa anatinga mbona fresh 2 we vipi siku nyingine jipangeeeeeeeeeee......

    ReplyDelete
  4. Wewe ukisubiria hao wenye maghetho ya nguvu wegi wao HAWADINDISHI vizuri kama huyo mtoto wa Uswahilini aliyelelewa kwenye pagala hilo.Wengi wao tunaona wanaolewa huko kwenye mijumba ya Kifahari mwisho wa siku wanatafuta watoto wa Uswahilini wawatombe vizuri. Mapenzi ya kweli sio uishi kaa pale Kilimanjaro Hotel au Double Tree Hotel ni kiasi kukubaliana mambo flani flani.Kweli wewe UTAZEEKEA NYUMBANI NA WENGI WAO SIKUHIZI TUNAONA MNATOMBANA NA BABA ZENUUUUUU coz unaona hamna wa kufananisha kama Baba yako

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahaaaaa!mdau umenifurahishasn kwa majibu yako!

      Delete
  5. Afu ako kadada kashambaa! kweli kitakua hakaolewi kwa mtindo uo,apo wanakaa jinsi gani wafanye then everything kitakua po.la cvyo mtatombwa kwa design iyo mpaka mkome,afu kwanza wee kamburura2 shenzi wew.

    ReplyDelete
  6. Maneno yako yana kikekike,atakae kuoa ww nadhan ataijutia ndoa had mwisho wa maisha yake ila zaidi namhurumia mamkwe maana huo mdomo hauna brek yoyote,na kwa bongo yetu hii nikisikia umebebeshwa madawa ya kulevya ctashangaa

    ReplyDelete
  7. Haya yameshawahi nitokea lakini jamaa baada ya kupaona kwangu akajipanga na sasa yupo poa, kwake sana tu

    ReplyDelete
  8. me ilinishatokea, tumekaa miezi 6 cjui geto la mshkaji anakwepa nisiende ila kwangu habanduki kula na kuamkia hapo hapo. Nikamkomalia mpk akanipeleka kwake, kumbe geto lilikuwa ovyo kitanda tu halafu uswazi kshz ila kwa vile msela alikuwa ananitomba kisawasawa na ninamfeel basi nikazidi kumpenda na mpk sasa tuko happy mbayaaaaaaaa

    ReplyDelete
  9. Duh! Mdau hapa juu ka c kicheche bas malaya mchafu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad