KWA SASA SINA MPENZI KABISA, MWENYE MAHABA NA MIMI ANITAFUTE KWA MUDA WAKE

Leo katika interview na baby Madaha ambaye hivi karibuni amesaini mkataba mnono na kampuni ya Candy n’ Candy Records  ya jijini Nairobi nchini Kenya , Bongomovie.com wameweza kupata mambo matano ambayo mashabiki wa mwanadada huyu watakuwa hawajui kumhusu yeye.
  
 Katika interview hiyo, baby Madaha  ametaja mambo matano ambayo anasema mashabiki wake wanahitaji kuyafahamu kumhusu yeye. Mambo hayo ni haya yafuatayo:

 1. I’m single ( Sina  mpenzi) 
 Mwanadada huyu amesema kuwa kwa sasa yupo single na  yuko  bize  na PESA. Ila  kama  kuna  mwanaume  mwenye  nia  ya  dhati  anaweza  kumtafuta.

 2. Anasoma degree ya sanaa kwenye sayansi ya siasa na historia (B.A- Political science and History) - chuo kikuu huria jijini Dar es Salaam..

 3. Mama yake mzazi ndio rafiki yake mkubwa maishani

 4. Ni mpenzi wa soka na ni mshabiki wa Chelsea na anavutiwa na  Kevin-Prince Boateng wa club Schalke 04 ambaye ndiye alisababisha akanyoa nywele staili aliyonayo baby madaha kwa sasa.

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hongerasana kwa kuwa darasan!mme utampata tuu MMungu ndiye ajuae!

    ReplyDelete
  2. Na mwisho mwampamba unaibia tuu au sio maana mpaka vichochoroni mnafanya mapenzi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. hee mdau mbona mwisho anataka kunio mie hapa na kanambia hana demu?

      Delete
  3. Wewe koma ulimshikia mguu apo vichochoroni wivu unakusumbua kuma kunuka malaya wewe

    ReplyDelete
  4. Eeeeeh!!!!kz ipo!

    ReplyDelete
  5. Madaha malaja fijo. Hahaaa

    ReplyDelete
  6. aache kupaka mabinzari..

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad