LAANA..!! ASAMBAZA PICHA ZA UTUPU ZA MUMEWE ILI KUMKOMESHA

Kigogo mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja, anayefanya kazi  katika kampuni ya simu za mkononi  na mwanamke aliyetajwa kwa jina la Mwamvua anayedaiwa kuwa ni mke wa mtu wamerekodi video wakifanya uchafu na ‘clip’ hiyo imevuja.

Habari za kuaminika kutoka kwa chanzo chetu makini zinasema kwamba mke wa kigogo huyo aitwaye Zainab ndiye anayesambaza video hiyo kwenye mitandao mbambali na mitaani.

Inaelezwa kwamba, Zainab alianza kupatwa na wasiwasi na tabia ya mumewe muda mrefu, hivyo akaanza kumfuatilia kwa karibu, ambapo alifanikiwa kunasa meseji za mapenzi kati ya mumewe na Mwamvua.

 Zainab alivumilia bila kumwambia mumewe, lakini aliendelea kumfuatilia ili apate uhakika.

“Aliamua kuchukua namba za simu za yule mwanamke kisha akampigia na kumuonya amuachie mumewe, lakini akamjibu mbovu,” alitutonya mnyetishaji wetu  
Akaongeza: “Lakini siku moja aliona picha ya huyo mwanamke akiwa kitandani kwenye simu ya mumewe. Alipoendelea kupekua zaidi, akaona video ikiwaonesha wapo kwenye mahaba. Akaihamishia kwenye simu yake haraka kwa njia ya Bluetooth.”



“Zainab alishachoshwa na mambo ya mume wake. Analalamika kuwa tangu amepandishwa cheo, hatulii nyumbani. Amekuwa malaya kupindukia. Uamuzi wake ulikuwa ni kuondoka kwa mumewe, lakini akaona ni bora kwanza amkomeshe,” alisema paparazi  wetu. 

Alisema, kwa kuwatumia ‘watoto wa mjini’, Zainab alifanikiwa kuisambaza video hiyo kwenye mitandao mbalimbali kwa lengo la kumuaibisha mume wake na mwanamke aliyekuwa naye faragha ambaye naye anadaiwa kuwa mke wa mtu.
“Aliona bora wakose wote, ndiyo maana akafanya hivyo,”alisema.

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. duh! hiyo kali ila nimeipenda!

    ReplyDelete
  2. video IPO wapi sass tuone

    ReplyDelete
    Replies
    1. NAONA UNAPENDA KUANGALIA ZA WENZAKO ENHE!

      Delete
  3. Nimeipenda mno, jino kwa jino. Amuoe huyo hawara sasa. Au km vip wabadilishane pair!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad