Jana zilisambaa habari kwamba masanja mkandamizaji na msanii Diamond wamedakwa na polisi na possport zao za kusafiria zimezuiwa....
Taarifa hizo zimemfanya Masanja afunguke na kudai kwamba habari hizo si za kweli, ni habari zenye lengo la kumchafulia jina.
Masanja ameenda mbali zaidi na kudai kwamba yeye ni mtumishi wa mungu, yeye ni mjasiliamali na ni mkulima pia.
Mali alizonazo zinatokana na juhudi zake za kazi. TBC wanamlipa milioni 5 kwa mwezi.Stoo ana magunia ya mpunga zaidi ya 1000 na kila gunia linauzwa zaidi ya 200,000.
https://soundcloud.com/vijimambo-blog/recording-2
MASANJA MKANDAMIZAJI AFUNGUKA KUHUSU SKENDO YAKE YA KUSAFIRISHA MADAWA YA KULEVYA
31
September 03, 2013
Tags
Chezea masanja weweeee!hahahaaaaa mwaya walitaka utiririke tu.mi pia nashukuru nimekufaham ntakupigia misele bovu ukizingatia
ReplyDeletePakukupata napajua,kanisaniiiiiii!be read am coming mtumishi.
m2mishi wa mungu huyo
ReplyDeletebut kuna wa2mishi wa mungu wengne wana2mia u2mishi waka kama ngao ya ualifu
ReplyDeleteHvi niwaulize mtu akiulizwa unauza atasema Ndio? Moyo wa binadam na giza nene sana. Huyo Masanja mnamsema hamjui masanja ni mshenzi sana. Kawadanganya wadada kibao hapo. Kanisani hadi kuna mdada akasmua kusepa maana watu walimwandama. Kwa tunao sari nae tunamjua hyo kashfa aliyoipata na bado. Alimtenda huyo mdada alikua mcha Mungu na kipenzi cha Mchungaji. Mdada amehama Kanisa Kisa Masanja Lazima Atailipa. Mungu mkubwa kale kadada kanaishi poa na life la kufa mtu. Masanjaaa tunakujua mungu akuponyeeeeeeee. Ubadilike. Mlokole mwenye mwito.
ReplyDeleteBwahahahah watu mnajua habari za Watu huyo dada namjua. Majanga tena.
ReplyDelete...........MASANJA FUNGUKA TENA NA HIYO.....! MAANA NDO YANAKUJA HIVOO WE JIANDAE TU,, BADO NA NDANI UTAENDA TU, BADO TBC WATAKUTEMA TU KAMA NDO KASHIFA ZENYEWE ZINAKUJA HIVO, MAANA TBC NI KIOO CHA JAMII SIYO KASHIFA,, BADO NA TRA HAWJAKUTAFUTA KUHUSU KODI YA MAMILLION HAYO UNAYOYATAJA, IULIZE NAFSI YAKO MASANJA KAMA KWELI HAYA MAMBO UNAYAFANYA JIKANYE MWENYEWE UACHE WATUNWANAKUPENDA SANA,,,LAKINI HILI LA HUYO DADA ULIYEMHAMISHA KANISANI KWA USHENZI UNAOSEMWA NA HUYO MCHANGIAJI HAPO JUU NI MBAYA SANA.....!!FUNGUKA WATU WAKUSAIDIE DOGO...UMAARUFU NAO KAZI
ReplyDeleteKakakakakakakakakakaaaaaaa kadada tena?
ReplyDeletePeople r just so stupid, wanasikiliza huku mara kule , ushabiki tu, hv nani atakwambia mimi nauza unga kweli?? tumieni akili nyie watu, milioni tano wote tunalipwa hizo, ukulima mashamba tunayo pia, na tunajua jinsi mvua inavyonyesha. issue hapa ni kwamba hizo pesa zinatosha kujikimu kwa life style yao, kujenga majumba, kununua mashamba, kusafiri nje? Ukweli ni kwamba for now hatuna ushahidi ila ni kwa watu wenye dhamana wanakula nao. Wenzetu ulaya wangeulizia pia kama kweli wanabiashara halali vipi kodi ya pato? Milioni tano ni gross sio net, ukiuza mazao kuna kodi, ukinunua kuna kodi.
ReplyDeleteNajua wenye akili punguani watasema wivu ila vijana wanaangamia kwa madawa, taifa la kesho. Amkeni acheni ufala hakuna biashara halali ya kukunyanyua ghafla hivyo hapa duniani, tena eti ya comedy au show za bongo flava au bongo movies wakati watu hawanunui cd original, wananunua za kucopy then msanii ni bilionea ghafla tu ukiuliza oooh mi napiga show!
kila nafsi ni shahidi ya iyatendayo.
DeleteNguvu kazi inapotea nchi itapataje maendeleo?
Kwakweli kwa swala la huyo dada Mdau hapo juuuu ni kweli kabisa Masanja alikakuta chuch kadada kako poa kinoma kanaendesha Vitz. Ila alivyomkubalia huyo Masanja maisha yake yalinadilika. Tunsjua kila kitu. Masanja acha kujikausha umeshamuomba Msamaha huyo Demu? Na ako kadada kalikuwaga kanaenda Uulaya sana. Sikaoni. Unajishaua mtumidhi wa mungu wapi wewe. Nina hasira nawewe sana. Maana sko kadada tulikua wote chuch. Mara kakasepa. Mungu akuponye.
ReplyDeleteTUNAKUPENDA MASANJA
Deletekumbe ndio kuokoka huko? mbwembwe nyingi!
ReplyDeleteDogo jipange kwanza kabla hujaja kujieleza public,hakuna gunia la mpunga linalouzwa Sh 200,000 kwa Tanzania hii
ReplyDeleteJaman Masanja amechemsha eti nalipwa million Tano sawa unalipwa million. Tano. Kwanza una kampuni ya Ulinzi. Unamagari c chini ya Sita. Nyumba yako ya Kigambon umejenga miaka mingi leo Ghorofa ndani ya mwaka. Na bado utaongea tu. unga ni kweli unauza kwa hela gani Masanja? Ya halali? Na bado utazungumza tu ukweli. Kwahyo kututukana waandishi wa habari umeona dili Eti kupata million ni muujiza c bora mm muujiza wewe wa Sembe? Mbona kina mpoki wametulia kawaida Ukaona ujifiche kwenye ulokole. Jipange
ReplyDeleteMmmmh,dialmond nae anajenga mansion mbezi beach,ananyumba 4,mahela kwenye bank ndio usiseme,magari ya maana,nyumba Moja kamjengea mama yake,julmla nyumba tano weka mbali jumba la mbezi beach amble bado alijaisha.duuu huu utajiri wa haraka haraka,mmmmh!!!!!!
ReplyDeleteMtaishia hivyohivyo wenzenu wanasonga,kama unga na nyinyi c mkabebe kama rahisi, jifunzeni kusave pesa zenu na kufanya maendeleo kutwa mko club , kuna asiyejua Masanja alikotokea? tuliandaa tamasha akaja kutumbuiza siku moja tuu tulimlipa 2milioni sasa akiitwa mara 2 kwa mwezi ana sh ngapi?ulizieni mpoki ana nini kabla hamjaanza kuchonga wehu nyie, mmehama freemason sasa unga
ReplyDeleteFreemason na sembe ndio Dili Siku hizi.jamani dunia imekwisha.mi diamond nitaamini ni freemason,masharti ya fremason uwe unatoa misaada kila mwaka,matos zawadi ya gari kwa mzee wa bendi.
ReplyDeleteSanja yule mke wa askofu wa kanisa sinza mugabe umeacha kumchakachua. acha zako mzee
ReplyDeleteHahahahahahaha Mke wa Askofu tena. Huku kitaa masanja kavuluga madem wengi kinoma. Masanja badilika. Unauchafu kibao kwa kubadilisha madem. We ni nomaaaa tujiulize tupo wangapi? Na umeumbuka. Mungu mkubwa. Mnapenda kuwatoa watu kwenye comedy. Ulimtongoza rafki angu facebook ukamgonga ukamuacha. Loh. Unakumbuka ulivyokua unawabadilisha.
ReplyDeleteMasanja Dah unavyojitutumia kuhubiri unatoka na wake wa Maaskofu??? Una laaaana wewe ( in bedui voice)
ReplyDeleteyule dem wake annabel muuza k wa block 41.vp walishaachana???
ReplyDeleteHahahahahaha Anabel. Tena. Mbona Levina ,Nasra.... Mama Askofu Wa Sinza Mugabe. Masanja njoo ujibu Tuhuma
ReplyDeleteNyoooooo mamae zenu wote mnaojifanya mnamjua Masanja. Mbona nyie mna chukuliwa na wanaume cheap cheap na ukimwi juuu mkaogeee. Eti yule muuza K. Nyie mnajiona mko safi si ndio. Jiosheni nyie ndo mumuandame kumamayo zenu nyie. Bestfrnd wa Masanja
ReplyDeletemamako anakopo nakuuliza shetwaiiin wewe umechanwa live hapa unaleta matusi badilika kijana ukimwi na gono vinaua mxiuuumxoooo
DeleteKweli kaz hamna. Nipo ofcn. Mkimaliza kojoen mkalale
ReplyDeletenyau wewe ungekuwa na kazi usingepata muda wa kukoment mazafanta unanin wewe
Deletemasanja hauko serious na MUNGU bora umtumikie shetan ieleweke
ReplyDeletemasanja masanja masanja masanja wewe huu mwema kwa mungu wako kisa mtu kawazidi kipato jueni kua hakuna jipya chini ya jua haya yote yalikuepo tang nyakati za........
ReplyDeletemasanja masanja masanja masanja wewe huu mwema kwa mungu wako kisa mtu kawazidi kipato jueni kua hakuna jipya chini ya jua haya yote yalikuepo tang nyakati za........
ReplyDeletemasanja masanja masanja masanja wewe huu mwema kwa mungu wako kisa mtu kawazidi kipato jueni kua hakuna jipya chini ya jua haya yote yalikuepo tang nyakati za........
ReplyDeleteduuuuuuuuuu........... mkubwa mungu...
ReplyDelete