MASTAA BONGO WAMFANYIA SHEREHE YA BIRTHDAY AGNESS MASOGANGE HUKU AKIWA JELA SOUTH AFRICA
13
September 09, 2013
So guys kama mnavyojuajuz ilikuwa birthday ya Miss FineAss AGNES MASOGANGE, Na kwakutambua mchango naurafiki wao Jackline Wolper akaamua kuangusha boonge la dinner kwa ajili ya kusherehekeasiku ya kuzaliwa ya kipenzi chao uyo ambaye yuko jela kwa tuhuma za madawa ya kulevya huko South Africa... hivi ndivyo hali ilivyokuwa...
Enjoy!!
Tags
Kamanda nzowa kamata wolper akusaidie kutambua mtandao wa wauza ngada akiwemo bwana ake wa zamani dallas. inaonyesha watu anaozunguka nao wengi wauza ngada huyo binti ni alibi wa masogange hii haitaji fbi.nialikeni nisaidie ku extract info by water bodying technique atasema tuu fedha za kununua mini cooper na mercedes wanazitoa wapi.
ReplyDeleteTUNAHANGAIKA NA MTANDAO WA WAUZA UNGA SI MWINGINE HUYO WOLPA KAJITOKEZA WAZI WAZI? MUNGU AKUPE NINI TENA KAMANDA NZOWA? MAANA NDEGE WAFANANAO HURUKA PAMOJA HUWEZI UKAWA NA RAFIKI MUUZA UNGA ILIHALI WEWW SI MTUMIAJI AU MUUZAJI. HVY KAMTA WOLPA ASEME VZR

ReplyDeletewalikuwa wanasagana naskia hivyo lazima aumie mkewe yuko mbali
ReplyDeleteNa pale lamada hotel ilala huwa wanapanga mishe zao za kusupply ngada. Raid that facility asap.
ReplyDeletehamna kitu kibaya mtu unapokuwa mjiga wakati wewe mwenyewe hujijuwi kama ni mjinga,hicho ndio kinacho wasumbuwa wananii wengi.
ReplyDeleteWhat a message?
ReplyDeletemmh! mna habari! aisha bui kakamatwa brazil na unga.
ReplyDeletemna habari?aisha bui kadakwa brazil kwa madawa . du noma /sana jamani pumzikeni jamani
ReplyDeleteNo sherehe ya wauza sembe hiyo! Kamanda nzowa unasubiri nini kuwakamata hao?
ReplyDeleteBongo movie inalipa kwa madistributor hawa wakina wolper ni sembe tu huyu alifanya bday Synergy oysterbay ya karibu 6 Milion si unga huu.kamata hawa watu tuue networj yao wanatutia aibu nchi za watu
ReplyDelete