MEET PETRIDA THE FASHION DESIGNER AND BUSINESS WOMAN

Nadesign pillows kwa wateja wangu waliopo Europe ila kama Bongo au Tanzania wanaitaji pillows nawatengenezea pia natumia material designed from Sweden and holland ambazo ni imara zaidi kwa mito,nauza make ups za mac na iman kama powder ,foundation na mix zake zote, nauza mawigs kila aina,nipo mbioni kufungua duka kwa bongo niuze nguo kutoka France, Amerika na Turkey, kutakuwa na handbags,all lipsticks za mac products na Iman products,kutakuwa na wedding dresses kwa maharus +shoes kwa wadada bila kusahau perfumes.
Blog yangu itakuwa na all current news za  Nje na Tanzania pia, so muwe Free Kuitembelea Pia
Jina la blog :www.petridafashions.blogspot.com
Napatikana kwa facebook page pia kama www.facebook.com/PetridaFashion  na instagram kama petridafashionblog
Nawakaribisha wote.
salamu,
Petridafashionblog
Tags

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hongera bidada,au na wewe mke wa mzungu nini?maana wake wa wazungu mnajishaua na hizi biashara za mafashion sijui,wanunuzi tupo tutawaungisha lakin.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mzungu wa mange kafulia kuuza minguo barabarani na mzungu ndio anaona biasharaaaa.Mange Analea Huyu mzungu inavyosemekana

      Delete
  2. haha mdau wake wa wazungu walikuwa zamani siku hizi bora ubaki na mbongo wako tu

    ReplyDelete
  3. Ndo apo mdau hata wabongo wanaela pia si wazungu tu, na wazungu wenyewe wachache wa kuhesabika siku izi ndo wanaela wengi ndo hao kuishia kupanga viappartment na kusumbua watu mashauzi ya kwenye vikolido kama wakina fulani wanaodanganya kila siku twanunua nyumba budget yenyewe F.

    ReplyDelete
  4. Acheni wivu jaman mtaishia kuwasema kila siku wenzenu ndo wanatoka ivyo,kununua mnunue,kuwachamba muwachambe,jifunzeni kuiga mazuri siyo kukatisha tamaa watu kama anaela kwanini asifanye biashara we unayelalamika hata kibanda huna kutwa kusema watu mtaishia umaskini wakati nguvu za kutafuta mnao,siku zote jifunzeni toka kwa wanawake au wanaume wenzenu wanaoonyesha success si kuishia wivu tu. awe na mzungu au mbongo kama ana ela anaela tu what matters pesa ndo mpango mzima,hongera petrida japo sikujui.

    ReplyDelete
    Replies
    1. povu limekutoka mwenyewe msg sent shushia na tindikali basi iloooo

      Delete
    2. Hahahaa!Mdau nimechekaje

      Delete
    3. Na Wakati alisema aliibiwa .Wateja wake wezi

      Delete
  5. Nimecheki blog yake kumbe ndo yule,kanamatanuzi kutwa kusafiri tu mashauzi kama mama los Angels vile itakuwa mzungu wake anapesa ndo mana kanajishaua si bure. Aya tutaona mashauzi isiwe tu kama bishost kuishia kukosa marafiki kisa uswahili mwingi,labda uyu bidada mstaarabu au ndo walewale .

    ReplyDelete
  6. Tindikali shushia wewe mdau,au na wewe mke wa mzungu limekuuma? hata wabongo wanapesa pia tumetulia tu hatutaki jishaua kama hao wanaojiita wake wa wazungu wakati pesa yenyewe ya mahesabu na kuishia mashauzi ya kubanana kwa viappartment ,kma limekuuma kunywa piriton ukalala, tuache wake wa wabongo sie .

    ReplyDelete
  7. mtamsema sana mange ndio maana anwazidi ubunifu, blog yake ni tishio,mablog mengine kila kukicha kuigana habar moja blog 6,fyuuuuuuu

    ReplyDelete
  8. Kwani nani amemsema mange mbona mnajihisi au na wewe mke wa mzungu nini? kama na wewe linakuuma si ufungue blog yako uweke habari zako peke ako,hamkawii kugombanisha watu na inavyoelekea mtamgombanisha hata uyu binti na mange kisa tu mke wa mzungu pia na kashaonyesha mafanikio yake watu mnamawivu, napita mie team wake wa wabongo au wauza sembe.

    ReplyDelete
  9. Acha wake wa wauza sembe tushine sie maana hawa wake wa wazungu kutwa wanaturusha roho, japo biashara ya sembe inaanza kuwa ngumu siku izi na hizi scan mashine zao airport ila tutatoka tu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Una mtindio wa ubongo sio bure, wanawake wa kitanzania mna matatzo, hakuna mwenye mawazo chanya ya maendeleo kutwa ni kuota ndoto za kuolewa na watu matajiri tu.duniani hakuna kinachopatikana kirahisi lazima ufanye kazi.kutwa ni kuwaza kuolewa na wazungu na wao walishawajua mnapenda sana hela na hawawataki wanaoa watoto wa ki- Asia

      Delete
  10. Nimeitembelea blog ila sijaona hizo wigs au mito zaidi ya habari tu
    Bdada weka vitu ulivyohorodhesha kwamba vipo

    ReplyDelete
  11. Nimeitembelea blog ila sijaona hizo wigs au mito zaidi ya habari tu
    Bdada weka vitu ulivyohorodhesha kwamba vipo

    ReplyDelete
  12. Jamani, wanawake tupendane, na si kila kitu kukosoa na kuchamba, na wengi wanaojifanya kuchamba hawana hata kibanda cha kuuza voucher, midomo mirefu kama chuchunge, wivu tu umewajaa. Petrida hongera mwaya, wanawake siku zote huwa hatupendani, ukiona mwenzako anafanikiwa muige na siyo kumsimanga. Bora nyie wake za wazungu umajua kutafuta kuliko hao wanaouza K tu huko USA, shule wamemaliza kurudi hawataki, nyooo, rudini muone cha moto mtaanza moja wenzenu wanamaendeleo. bora huyo mange anakuja kuuza nguo anatafuta pesa kihalali, kuliko nyie mapunda kutwa kubebeshwa masembe na ujira wenyewe mnapewa kiduchu, mtalijui jiji mwaka huu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad