MHE JOSEPH MBILINYI AKIWA CHINI YA ULINZI WA ASKARI WA BUNGE MJINI DODOMA.

Askari wa bunge la jamhuri wa Muungano wa Tanzania wakimdhibiti Mhe mbunge wa Chadema jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ndani ya bunge wakati akitolewa ndani ya ukumbi wa bunge hilo mjini Dodoma leo. Picha kwa hisani ya Abuubakari Nasibu.

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. AIBU GANI HII JAMANI MWEH

    ReplyDelete
  2. Duh! Jamani ivi kweli bungeni imefikia hatua hiyo? Alafu, ivi kiongozi uliyechaguliwa na umati wa watu, wamekuamini,unaenda kufanya mambo ya ajabu,kutafuta umaarufu wa kutajwa kila siku radioni bila faida yoyote kwa wapigakura waliokuchagua, kama kiongozi unatolewa kwa udhalili namna hii unawafunza nini waliokuagiza huko? Jaman ifike mahali tubadilike, isije ikafika mahali tukaona ukweli wa usemi huu," NI BORA YA PENGO KULIKO JINO BOVU"mie napita tuuu

    ReplyDelete
  3. Peoples power! Oppresion before justice!

    ReplyDelete
  4. Ni upuuzi wa hali ya juu.

    ReplyDelete
  5. mmmh aibu kubwa kwa kweli. Sijui sisi tuliowachagua tujifunze nini kutoka kwao.

    ReplyDelete
  6. Mwe! mwe! mwe! mwe! mwe! mwe! mwe!.......

    ReplyDelete
  7. Kwa mtazamo wangu,tuangalie chanzo cha kasheshe hii,jee walikuwa na hoja?Haiwezekani uburuzwe kipuuzi simply because chama tawala kwa utashi wao wanataka kulazimisha mambo.Hili jambo linatishia uwepo wa Muungano ambao hao CCM ni waumini wake wazuri.Ushabiki wa CCM katika jambo hili hakika utauuwa Muungano.Kama naibu spika angekuwa na busara angefanya kura ya siri kwani wabunge wa CCM ni waoga na hakika wasingeweza kupinga msimamo wa chama chao.Ni wakati muafaka katiba irekebishwe ili maamuzi ya Bunge yafuate mfumo unaoruhusu uwianao sawa katika kura.

    ReplyDelete
  8. nyie wapinzania kuweni na nidhamu bungeni hamjachaguliwa ili mkachafue hali ya hewa bungeni, kwanza point hamna malumbano kila kukicha

    ReplyDelete
  9. kilichokuwepo bungeni nia maslahi ya vyama na c taifa,,yan chama pinzani hta wakiwa wanahoja za msing kwa maslah ya taifa bas CCM watapinga halikadhlka na kwa wapinzan,, na spika kwa kua hana busara anashndwa kucontrol hal hyo,,,,,,hoja ilitolewa na upnzan ilikua ni ya msing kulingana na kanuni za bunge,,kua bnge haliwez kuendelea na muswada wkt zanzbar hawajahusishwa kwnye muswada huo,,,ili ccm kwa kutumia wing wao wakapingana na wapinzan na spika akarhusu uendelee kujadiliwa kinyume na kanuni za bunge,,,,,,spika hana busara,wabunge hawajielew yan balaa tupu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Afadhali ww ndio umeelewa, wengine wanakurupuka tu kuwalaum wapinzani

      Delete
  10. CCM ni dictators.... wao ndio wanolazimisha watakalo wao. Ukiongea linalopinga policies zao za chama siku zote huwa adui.. Wa TZ tuwe makini.... CCM sio chama chenye manufaa kwa nchi hii....

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad