Taarifa kutoka Dodoma zinadai kuwa kuna Askari mmoja ambaye ni miongoni mwa walinzi wa Bunge ameenda kufungua faili Polisi Dodoma na kusema kuwa ametishiwa kupigwa na Mbunge Sugu...
Baada ya kufungua Jalada hilo polisi wamechukua Difenda 6 na wameingia mitaani kumtafuta ili awekwe ndani mpaka kesho ndio afikishwe mahakamani asubuhi.
Credit:Jf
difenda 6 m2 mmoja? huo uchoko
ReplyDeleteHuo ni uharibifu wa fedha za walipa Jodi bola sababu ya msingi mtu mmoja anatafutwa na difender sita hayo mafuta ya kuweka kuzunguka yanatoka wapi kweli hao polisi hawatumii akili
ReplyDelete