MILLEN MAGESE ANASWA NDANI YA KIVAZI CHA NUSU UCHI

Anajiita, MODEL, au  MISS  TANZANIA.Ni  binti  wa  kibongo  maarufu  kwa  jina  la  Millen Magese  akiwa  katika  pozi  la  KICHUPI  style  lililoanzishwa  na  WAKOLONI  maarufu  kwa  jina  la  wazungu na  kupokelewa  kwa  mikono  miwili  na  baadhi  ya  mabinti  wa  kibongo  hasa  mastaa....

Kichupi  style  imekuwa  na  madhara  makubwa  sana  kwa  WANAUME  tangu  kuanzishwa  kwake..Moja  ya  madhara  hayo  ni  UPUNGUFU  WA  NGUVU  ZA  KIUME...

Miaka  ya  1960  ilikuwa  ukiliona  paja  la  mwanamke  ni  lazima  UINGIE  BAFUNI  kwanza.Leo  hii  mapaja, matiti, matumbo  na  nyeti  za  akina  dada  hazina  thamani  tena  mbele  ya  jicho  la  mwanaume...
Tags

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ulikuwa unataka aogelee na suti au ni umbea unakusumbua?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mie nashangaa. Nilidhan ataonekana yuko ofisin na chupi kumbe yuko beach. Basi wangempelekea dera aogelee nalo.

      Delete
  2. Heee makubwa nayo hayo,sasa ulitaka aogelee na baibui au khanga?

    ReplyDelete
  3. Bongo ushamba umewazidi sana

    ReplyDelete
  4. Hahahaaa sasa ulitaka avae boxer yako au likaptula lako la mazoezi? Mwacheni dada wa watu yuko kikazi na amevaa kuendana na mazingira.

    ReplyDelete
  5. Hahahaaa sasa ulitaka avae boxer yako au likaptula lako la mazoezi? Mwacheni dada wa watu yuko kikazi na amevaa kuendana na mazingira.

    ReplyDelete
  6. I wish mke wangu angekuwa mzuri kama huyo. wangu mie ana shepu ya box la juice ya azam. sijui nikadai lobola niliolipa kama mahari.

    ReplyDelete
  7. nakwambia bongo mmezidi, nguo fupi nguo fupi kwani nini bana aaaah hebu waacheni wajimwage itafika umri wataacha wenyewe. mambo maendeleo eeeh!!!! mko wapi?

    ReplyDelete
  8. Ila angezaa kwanza maana na umri unaenda

    ReplyDelete
  9. Wewe nae kua na mtoto ni lazima? Si mungu akmpangia na yy mwenyewe akiamua. Wewe kama unataka watoto zaa kivyako acheni mambo ya watu.

    ReplyDelete
  10. Wewe nae kua na mtoto ni lazima? Si mungu akmpangia na yy mwenyewe akiamua. Wewe kama unataka watoto zaa kivyako acheni mambo ya watu.

    ReplyDelete
  11. Kwan unampa hela ya kula mpk umpangie avae nn aseee

    ReplyDelete
  12. ivi unajua nyie nyege zinawawasha tu apo amna jingine lolote. mtu aoneshe makalio yake afu we uweweseke, nn tatizo angalia ya kwako.. shiiiit

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad