MITARO MIPYA YA BARABARA YA BAGAMOYO YAGEUZWA SEHEMU YA KUTUPIA TAKATAKA
3
September 18, 2013
Hii Ndio Hali halisi ya Mitaro ambayo haina hata mwaka mmoja toka Itengenezwe katika barabara ya Bagamoyo Maeneo ya Mbezi Samaki ...Wananchi wa Maeneo Hayo Wameigeuza sehemu ya kutupia Takataka hasa za Majumbani....Baada ya Miaka Miwili Hii Mitaro Itakuwaje? Nini Kifanyike?
Tags
Ndivyo tulivyo wa tz, tunatupa taka kwenye mitaro afu tunaanza ilaumu serikali.tunataka sheria zenye msumeno sio sheria butu kama zilizopo sasa
ReplyDeleteni mitaro na si mitoro!punguza jazba
ReplyDeleteMitoroto
ReplyDelete