MMH! WANAWAKE WA DAR ES SALAAM NAWAVULIA KOFIA-SOMA HICHI KITUKO

Juzi jumamosi nilikuwa na hang out na rafiki yangu fulani majira ya saa nne usiku. Mara rafiki yangu akapata text meseji kutoka kwa binti fulani ambaye ni x-girlfriend wake. Huyu binti ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimoja hapa mjini. Ni binti mzuri tu na wazazi wake wana uwezo sana. Alikuwa GF wa jamaa yangu lakini baadae akagundua jamaa yangu ni player hivyo uhusiano wao ukaanza kufifia. Later on huyu binti akapata mchumba na sasa hivi kuna vikao vya harusi vinaendelea.

Cha kushangaza ni kuwa katika ile text huyu binti aalikuwa anamuomba jamaa yangu tuende kumuona yuko club fulani mjini na mchumba ake kwa madai ya kuwa anahitaji hug kutoka kwa jamaa yangu. Well tukaenda na tulipofika tukamjulisha kuwa tuko nje. Huyo binti akamuacha mchumba ake akaja nje. Jamaa yangu akamhug, waka kiss na kunyonyana sana huku jamaa anamshika shika demu makalio na mwili mzima. Baaada ya dakika 5 binti akarudi ndani na kutuomba tusubiri kama dakika 5 ndio twende ndani. After 5 minutes tukaingia ndani yule binti akajidai amekuwa suprised kutuona akaja akatukumbatia kisha tukaenda kumsalimia mchumba ake.

nikabaki nashangaa kwanini huyu binti nafanya mambo haya wakati wa vikao vya harusi. Sasa hii ndoa itadumu kweli? Yani i am super confused om why binti aliye chuo kikuu anafanya mambo kama haya - yani huyu binti amepinda at the core basis of her moral foundation 

Daah dalisalama sio mchezo!

From Jamii Forums
Tags

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pole sana. Siku hizi kuna vibwengo. Hakuna wanawake.

    ReplyDelete
  2. Dah! huyo demu noma, tena hafai kuishi dunia hii. Puumbaafuuu!

    ReplyDelete
  3. Akili hana kwann alikubal kuchumbiwa kama bdo anampenda hyo play boy wake?msenge kweli,ndo hao wanaoua waume zao kwa magonjwa!

    ReplyDelete
  4. Dem msenge2 hawamtobi vizuri,wakatie kisawasawa uone hakajaacha kuchezea wanaume pumbavu zake

    ReplyDelete
  5. Tukisema siku hiz hakuna wanawake ila kuna mashetan hamtuelew,cjui hamjaona haya!!!

    ReplyDelete
  6. Wewe unaesema hakuna wanawake kuna mashetani umezaliwa na nan? C ukoment abt the topic c vzur

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mtu yoyote anaeshirikiana na shetani na yeye ni shetan

      Delete
  7. mama ako akiwa shetani wa kwanza then sie tunafwata....nyie mbona mnazaa nje hamuitwi mashetani na bado mnatuletea watoto tunawalelea hao hao mlozaa nje?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hapo shetan atakua alishangilia ushindi..

      Delete
    2. Wanawake wengi sa hivi ulimbukeni wizi mtupu

      Delete
  8. Dunia aina huruma, mimi na maisha yangu

    ReplyDelete
  9. Da! Hao ndo wachumba wa kidigtal! Wabongo wa mjn hao wanapenda double double.

    ReplyDelete
  10. KWA SASA MACHANGU D WENG SANA HAKUNA MWANAMKE,KWANZA ANGALIA MTAAN KWENU NDO UTAPATA JIBU niite ORUJONJOMOGO

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad