MSAADA:MKE WANGU MVIVU KUPINDUKIA KILA IDARA

Habari, 
Mimi nimeoa na ndoa yangu ina miaka 7 sasa na tuna watoto wa 2. Nlimuoa mwanamke aliyekuwa kamaliza degree ambaye alikuwa home tu at the time anatafuta ajira. Toka nimuoe hajawahi kufanya kazi yoyote ile yaani Goalkeeper mpaka leo na kutafuta kazi alisha acha. Mpaka leo hii mke wangu hajabadilika. Namlipa mshahara mwisho wa mwezi ambao ni sawa na kama 10k per day yaani (300k). Kila ninapojaribu kumtafutia kazi anafanya kidogo tu anaacha. Huwezi amini hata umlazimishe vipi ajishughulishe mzito ile mbaya. Mi ni mfanyabiashara(Magari Makubwa) nimemuanzishia vimiradi through the years vyote kala mtaji. Kuna kipindi alijaribu kusoma masters ya bussiness administration nkamlipia ada, nunua vitabu vyote alafu yeye akaamua kuacha baada ya mwezi tu Eti kuamka alfajiri hawezi. Nkaja nkamuomba basi asome chuo ambacho atakuwa anaingia mchana nacho alishindwa.

Tatizo rafiki yake mkubwa ni mama yangu mzazi hivo kuna kipindi nlikata mshahara wake ili kumlazimisha afanye kazi akakimbilia kulia manyanyaso nikalazimishwa hela yake isiguswe na wazazi wangu. Nkienda kazini namuacha nyumbani na home kwenyewe hafanyi chochote anaita tu housegirl. Yaani yupo yupo tu siku hadi siku. Nifanyaje ili hata nikianguka leo au kesho awe ni mama atakayeweza kusomesha watoto.

Alafu matumizi yake ya hela mabaya yaani hela yake mwenyewe ukimpa mwanzo wa mwezi kwenye tarehe 1 hiv basi ikifika tarehe 8 ujue alikuwa anaumwa. Ila ni hela yake na hainunui hata nguo ya mtoto hivyo hainihusu. Nifanyaje ajishughulishe?
Tags

Post a Comment

20 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wewe mwanamke wewe, hivi una akili timamu wewe!!!! au unafikiri ushamwezea huyo mumeo saaaana kw hcho kidgrii chako,,, TOMBOSOO!
    acha ujinga Jishughulishe, usi2tie aibu wanawake wenzako. Wa2 2na masters ze2 lkn 2najishughulisha kiuchumi, na kijamii na hata Kitandanii... ki ukweli wewe ni mwanamke boya sana, mumeo akimpata standard seven halafu bonge la mjasiriamali mbaya,, unafikiri uta2mia digrii yk kumnasua kwa m2 anaemtia moyo. amka mmmanina ww.

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe anmys 11:37pm wallah hata diploma huna

      Delete
  2. Wewe acha ufala tupa kule

    ReplyDelete
  3. mimi na form 4 yangu nachakarikaje na maisha? maana najua elimu nimekosa na kujishughulisha nishindwe kweli wkt nina mikono na miguu? Huyo mwanamke anatia kichefu chefu ktk ulimwengu huu wa kusaidiana ktk maisha. Na mtu mzima kama huyo kumbadilisha tabia kazi kweli, muombee atabadilika maana hakuna linaloshindikana kwa Mungu

    ReplyDelete
  4. Hilo ni zigo la mavi ktoka masaki

    ReplyDelete
  5. Mi nasema hakuna namna nyingine,apigwe tu.

    ReplyDelete
  6. Anaonekana kalizika na maisha huyo hajui kesho itakuaje km vp 2pa kule weka mwengine mwenye uchungu wa maisha.

    ReplyDelete
  7. mtafutie kimada cha nje, kinachojua kushughulika. huyo mke wako wa wapi wa kishumundu nn!

    ReplyDelete
  8. Inaezekana siyo ttz lake wewe ndo chanzo nasema hivo koz inaezekekana wewe ndo ulimtongoza kwa mijihela yako, istoshe ulikuwa unaimwaga Ile mbaya ,,, sa hv Unarudi kutulilia sie wewe vipi bana,,,wewe Endelea nae ivo ivo,,,

    ReplyDelete
  9. Safi sana dada mkamue alijifanya anazo na malori yake..tumia mtt wa kike ya nn uende shule wkt anakupa miela

    ReplyDelete
  10. Acha usenge we dada kumamako umezoea kufirwa tu msenge wewe,mpe onyo kali akizngua,pga chini brother kavp mpotezee wanawake wapo wengi
    sana

    ReplyDelete
  11. Wewe hapo juu bchwa lakoo huna ushauri mzur kwendraaaa.. Mpe onyo huyo mburura then akiendelea utajua cha kufanya we mtu mzma

    ReplyDelete
  12. Mwambie aje kwangu

    ReplyDelete
  13. Cku moja tomba haswa mwenyewe ataanza kujishughulisha sawa bro

    ReplyDelete
  14. mpuuzi wewe tukufundishe kulea mke mme amezaliwa automatically anaweza kumhando mwanamke we vip kama vip tushilikishe na kula basi, wewe ndo punga la mwisho

    ReplyDelete
  15. jamani acheni maneno machafu ujue wanaume wa siku hizi mmezoea vya nyongeza huyo dada ni halali yake

    ReplyDelete
  16. MCHUKUE HUYO HOUSE G WENU MBONA ATANYOOKA. niite ORUJONJOMOGO.

    ReplyDelete
  17. Anachezea bahati huyo atakuja kulia kifo cha mende mpaka akome

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad