STAA wa sinema za Kibongo, Irene Paul amesema ameridhishwa na uwezo wa mkali wa sinema za Kinigeria, Joseph Van Vicker akidai ni jasiri na mjuzi sana katika ‘sini’ za malovee.
Akizungumza na Amani mwishoni mwa wiki iliyopita, Irene alisema kuwa pamoja na kuigiza naye kwa mara ya kwanza ‘scene ya on bed’ lakini Vicker alionesha uzoefu wa hali ya juu utadhani wanafahamiana kitambo, jambo lililomshangaza na kujikuta akiingiwa na woga.
“Jamaa utadhani tunafahamiana, alinikabili kitandani kwa kiwango kikubwa sana, nilipata hofu kubwa mno. Van anajua kuigiza jamani, kwangu hii ni bahati ambayo namshukuru Mungu kuipata, wengi waliililia,” alisema Paul.
Van aliibuka Bongo na kuondoka wiki iliyopita kwa ajili ya kushuti sinema moja na wasanii wa nyumbani ambayo bado haijapatiwa jina.
point of correction he is ghanian nt nigerian
ReplyDeleteHamjui kuigiza mnagezea waoneni kwanza vpodozi vingi n'a umalaya kwa sana movie chaîna vina enlish ndo lugha ljn umezidisha punda nyie
ReplyDeleteAnataka kutombwa2 uyo nenda mama nenda
ReplyDeleteHakuna alichokosea. hajaandka mnigeria, kaandika mkali wa filamu za kinigeria.Pitchuu ni mkal wa filam za kitanzania lakn ni mkongo. Dont understand too much guys. mwandish yupo sahih
ReplyDeleteSoma heading ww pimbi hpo juu mwandishi ameandikaje!! '... Malovee ya MNIGERIA....' Kwhyo amekosea, jamaa ni mkongo! Mwandish amekosea lzm akosolewe ss na ww pimbi mwngne mijicho yko inamatege eti mwandishi hajakosea.....soma kwnz ndo na ww u comment, nyambavuuu...
ReplyDelete