Msanii wa Bongo muvi ambaye pia aliwah kuwa mke wa mfanyabiashara maarufu nchini marehemu Mohamed Mpakanjia bibie Aisha Bui anadaiwa kukamatwa na madawa ya kulevya
nchini Brazil.. Mtandao huu bado unafatilia kwa ukaribu ishu hii na utawaletea habari kamili muda mchache ujao.
MSANII MWINGINE WA BONGO MOVIE AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA HUKO NCHINI BRAZIL
18
September 12, 2013
Tags
bado kina naniii mnafuata mjiandae
ReplyDeleteDah this is hell life wanataka kutoka kwa njia zisizo sahihi madawa ya kulevya limekuwa janga kwa watanzania
ReplyDeleteBado Jackie cliff, na wengine
ReplyDeletena bf wake jux
DeleteNa Ben na Yule kaka yake nisha
DeleteMweeee!kweli sikio la kufa halisikii dawa!
ReplyDeleteKiukweli madada zetu wanatuahibisha kabisa wanatufanya tuwaogope
ReplyDeleteYani yote hii no kutaka kuwa juu itawatokea puani
ReplyDeletetuamini lipi? michapomitupu.blogspot: AISHA BUI AKANA KUKAMATWA NA UNGA BRAZIL
ReplyDeleteKweli ndugu hata hujakosea laiti isingekua hvyo cdhan kama kuna mt angekua na mda wa kufanya shughuli hii!
ReplyDeletenaskia ana ukimwi!!! naskia alipewaga na marehem!! naskia analaana ya baba ake!!! naskia
ReplyDeleteAcheni hizo Kama kapewa ukimwi na mpakanjia basi j,l,jo,na kadhalika watakuwa nao wanao maana Amina alitembea na wanaume ambao wameshatembea na Hizo herufi nilizoziorodhesha juu,tutaponaaaaa,mbuta nkikirwa.
DeleteHiv kwa nn wasichana wanaokamatwa na sembe wengi ni wamanga? Ukimtoa masogange .it seems hawa wamanga koko wa zanzibar ni wavivu wa kupiga buku halafu wanapenda maisha mazur. Na upeo wao wa kufikiria mdogo
ReplyDeleteKumbe ndo maana walikuwa wnatanua sn mjini. Bado akina nanhiiii...wanafuata.
ReplyDeleteWere chunguza tu utakuta mdada anabotiki tena Hana hata wateja lakini matanuzi yake ya kufa mtu,hela anapata wapi?
ReplyDeleteBado boss mmoja wa uvccm mwenye kimada wake bibi ajuza mmoja wa kimara,trip za china zitawafanya wanyongwe.
ReplyDeleteBado Abdul Nsembo. ...na kundi lake.
ReplyDeletebado na yule ntangazaji maarufu wa redio fulani kila siku anaenda china naye atanaswa muda si nleeefu. Jamani napita tu simoooooooooooooooo
ReplyDelete