Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule ‘Recho’ amejikuta akivuja jasho la furaha baada ya kupima Ukimwi na kujikuta yupo salama.
Tukio hilo lilitokea hivi karibuni maeneo ya Sinza Palestina ambapo Recho alienda kupima katika Hospitali ya Amen iliyopo Sinza ambapo kabla hajapata majibu hayo alikuwa akihaha huku na kule kutokana na wasiwasi.
Baada ya vipimo hivyo, Recho alipewa majibu yaliyoonesha kuwa yupo salama kitu ambacho kilimsababisha acheke na kuwataka wenye wivu wajinyonge.
“Namshukuru Mungu kwa sababu nimejikuta mzima baada ya kupima UKIMWI, Mwenye wivu na maisha yangu ajinyonge tu,” alisema Recho.
weka majibu basi mtandaoni, unatuambia kwa mdomo nani ataamin....
ReplyDeleteinamaana ulifanya umalaya sana mpaka ukawa unajishuku sio?naoma jibu Recho. maana haiwezekani ukurupuke tu utwambie hivo,

ReplyDeleteHuyu nae, ukimwi upime wewe, cc tumeze wembe kwa lipi? watu mbona tunapima kama kawa tu wala hatutangazi? wewe ni malaya ndo mana umeona issue kupima ukimwi basi kama ulikuwa hujui habari ya mjini kwa sasa ndo kupima , wajanja wote baada ya sera, ofa, outings before sita kwa sita ni angaza kwanza, iwe kwa kondom au peku ni angaza. acha usenge wako na umalaya utakufa.
ReplyDeleteNaweza kuamini kuwa ww ni kicheche halafu ulikuwa ujijui kama mzima au ushaoza kutokana na namba ulizotoka nazo mbovu, Puumbaafuuu!
ReplyDeleteWe demu vp mbona unatuletea mambo ya ajabu we mbona wafooo, una lolote ww unatafuta kiki 2 huna jipya, uwe nao ucwe nao shauli yako. alaaa Puumbaafuuu!!
ReplyDeleteKupima mara moja tu ndio ujitape hivyo? Dah! Kazi ipo. Yaelekea wajanja wamekufumua peku sana
ReplyDeleteAnajistukia si mnaiona afya ya bwanake Saguda ilivyodhoofu kwaiyo anajiaminisha ili muwaone wazima hahahahaaaa...full ngoma hapo muulizeni shost wake Jennifer Kyaka anawajua vzr hao...
ReplyDelete