Habari za hapa,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 na nipo ndani ya ndoa kwa muda wa miaka 2 sasa, kikazi naweza kusema ni fundi ambae muda mwingi huutumia ktk laptop (yaani kukaa kwa muda mrefu kitak0) huwa mara kwa mara napata maumivu ya mgongo pamoja na kiuno, labda kutokana na kazi zangu.
Hivi karibuni katika kufanya mapenzi na mke wangu imenitokea kitu cha ajabu kwanza naweza kaa wiki nisitamani kukutana nae kimwili na wala sio kama simpendi, tunapendana saaana, na siku tunayokutana kwanza jamaa hapandi mzuka hasimami, yaani na akisimama huchukua muda, na pia ipe nikianza kuweka tu basi tayari natoa mbegu, bila kumfikisha wala mimi kuridhika na tendo, na wakati mwengine tuko katika foreplay wala jamaa hajasimama nakua niko tayari kumwaga.
Hivi inaniumiza kichwa nashindwa kufahamu jee kuna ushauri wowote tafadhali changia niko ktk hali mbaya.
Naombeni mawazo na ushauri wenu tafadhali.
-JF
Pole sana kaka
ReplyDeleteHapo inawezekana kuna kitu umetuficha! Kijana inaonyesha ulikua MPIGA NYETO hodari sana. Ndo madhara yake hayo, ushauri wangu waone wataalamu wa afya watakupa tiba japo si ya kumaliza tatizo lakini hata kwa kupunguza.
ReplyDeletetuliza akili kwanza kukaa na laptop sio tatizo bwana na huo fundi sio shida tuliza mawazo tu hakuna cha dawa hapo wewe ndo mwenye tatzo mkuu safiri na mkeo nwende mbali tu na mkubali mkeo kama ana mapungufu mkuu.
ReplyDeletepole jembe fanya mazoezi,punguza mawazo kama una msongo,zingatia mlo,badilisha mazingira ya kupigia viduku (tendo) pia usipende sana kutumia vitu vya baridi.
ReplyDeleteukizingatia haya utadukua kwa matumaini.
ONYO; Ushauri huu ni kwa walio kwenye ndoa, kumbuka ZINAA ni dhambi na uathili afya yako.
by DOCTOR WA KITAA.
Tumia asali kila siku na madafu na pia tatuta nyumba ndogo upate msisimko mpya(advising out of experience)
ReplyDeleteNenda kwa wataalam wa saikolojia na mambo ya mahusiano, naamini watakushauri ki2, pia naic unadili sana na laptop, 2liza akiri yako na punguza matumizi ya laptop, pia uckose kwenda kwa wataalaam, ni hayo 2
ReplyDeleteHayo ni madhara ya punyeto kijana,bac tena huna jipya ww co mwanaume tena mwambie huyo mke aondoke tu coz no ndoa tena na hamna dawa utatembea dunia nzima ila ukwel ndo huo pole sn
ReplyDeleteUnajua km huna cha kuongea ni bora ukae kimya, don't be pussy jamaa kaomba ushauri ss unapo mwambia co mwanaume tena na eti ilo tatizo halitibiki unamaanisha nn? Jamaa anatatizo dogo tu, anakaa sana kwa muda mrefu unajua mirija inayo fanya uume usimame inapitia matakoni so ukiikandamiza kwa muda mrefu tatizo, ndio maana madereva wa masala marefu mwisho wa cku huwa wanapungukiwa na nguvu za kiume, pili inaelekea huwa huna hisia upokua na mkeo unawaza kwingine cha msingi cheza na hisia zako tatizo litaisha maana ukisema siwezi utoweza kweli mwili ni kitu cha ajabu sana.
ReplyDeletenenda loliondo kwa babu atakupa tiba couse yeye hutibu marazi yote.
ReplyDeleteahh utakuwa kuna kutu hukikiongea hapo! kabla ya kuowa ulikuwa huna mchezo wa kutoa TIGO couse tigo ikiregea jamaa hasimami ujue.
ReplyDeletenasikia ww ni mtaalam wa kutoa tigo, umekosa mawazo mazuri ya kumpa mwanaume mwenzio mpaka ucomment upumbavu kama huo? maza fanta mkubwa
DeleteInawezekana cku ya kwanza ulichoka sana,au ulikuwa na msongo wa mawazo,lkn ck zlizo fata ulishindwa kujiami kutokana tukio hilo lililopta,ukweli ni kwamba,mwanaume ukipata tukio hilo kwa ck 1 hupa hofu ya hali ya juu hivo kukufanya ukose kujiami hata kwa ck znazofata,mda wa tendo unapofika flashbak ya ya tukio la jana inakuainakujia"CJUI LEO NTAWEZA?"so kwasab hiyo hofu jamaa anshundwa kumama tena na hii cku ya 2 ndo unachanganyikiwa kabisaaaa na hautataman hata kurud nyumbani,hapo kaa na mkeo yeye ndo anauwezo wa kukurudisha ujasiri,kama kila cku hua unamuanza wewe sasa ni zam yake,utakaa sawa
ReplyDeleteKuna mipumbuvu ipo mingi sana humu duniani, na hapa kwenye swala hili nimeona miwili haina akili kabisa yaani kabisa, m2 ana omba ushauri vizuri 2 kama huna cha kusema ukikaa kimya utabadilika nini?, waswahili husema upambavu wako usifiche busara kidogo ulizonazo; Tatizo hilo ni dogo sana ushauri uliotolewa hapa unafaa sana jaribu kama itashindikana waone wataalamu wa tiba ndugu yangu pole sana.
ReplyDeletePole sana dogo,ila unaonekana una tatizo nenda kwa wataalam utapata msaada,na pia msongo wa mawazo huchangia kama una mawazo punguza wakati unakutana na mkeo.
ReplyDeleteNaoma zingati ushaury uliotole hapo juu "nenda kwa wataalamu wa afya kabla tatizo halijakuwa kubwa wahi sasa
ReplyDeleteNitafute ninayo dawa namba 0763086747
ReplyDeleteNjoo kwangu itasimama, blk beauty Atown
ReplyDeleteToa namba namii naeza kuja apo icmame
ReplyDeletepole xana brother zngatia ushauri uliopewa na pia ni muhim kumuona mtaalam wa afya
ReplyDeletePunguza punyeto na mawazo
ReplyDeletetuliza akili kwanza kukaa na laptop sio tatizo bwana na huo fundi sio shida tuliza mawazo tu hakuna cha dawa hapo wewe ndo mwenye tatzo mkuu safiri na mkeo nwende mbali tu na mkubali mkeo kama ana mapungufu mkuu.
ReplyDeleteNILIPOANZA NA MUME WANGU ALIKUWA ANAENDA CHOONI ANAJISHKA WEEH AKIRUD NDO TENDO.NILIVUMILIA BDAE AKAACHA KABISA.SASA NIKIMGUSA TU ANASIMAMA
ReplyDeleteNILIPOANZA NA MUME WANGU ALIKUWA ANAENDA CHOONI ANAJISHKA WEEH AKIRUD NDO TENDO.NILIVUMILIA BDAE AKAACHA KABISA.SASA NIKIMGUSA TU ANASIMAMA
ReplyDelete