NAPENDA HELA ZAKE TU ..ILA DUSHELELE LAKE AKA SINA HISIA NALO KABISA..HELP

Habari zenu
Nina mahusiano ya kawaida tu na kijana mmoja wa kichaga ambaye ni mfanyabiashara yapata miaka 3 sasa.

Anatoa huduma zote kwangu kifedha kasoro tu dushelele lake ndo silihitaji maana sina hisia zozote jaman za mapenzi kwake (toka moyoni) ki ukweli...nataka hela zake tu

Kwanzia mwaka jana jamaa anaulizia ndoa me namwambia subir nimalize chuo,kwakweli nataka kumuacha huyu mtu ila sijui nitumie njia gani.(pesa ilinoga)

Pia kinachonikera jamani jamaa huyu anatangaza maeneo ya hom kwamba me ni mtu wake tena kwa vitendo.......
Ukiongea nae kwenye simu anakwenda eneo la watu wanaonifahamu basi ananitaja jina kwa jina......

Nikitoka hom akiniona tu bas atapiga simu mbele za watu......eeeh hallo nakuona ndo unatoka mke wangu,bora tukakutane mbele kwa mbele huku wazushi wengi lol!!!!!!

Sina raha kabisaaaaa na huyu mtu zaid ya zile pesa lakin sasa baaaassssiii sitaki tena maana mpaka sisimizi nahis anasimuliwa.

Aliniambia anavumilia mpaka ndoa ila akigundua kuna mtu anakula mzigo basi atafanya kitu mbaya....Nifanyaje?

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nyie ndio mwisho mnatokea kuuliwa maana unamtia gharama mtu halafu wewe huna mapenzi naye ya nini ss si uwe muwazi tu kaa ukijua ukipenda kula vya watu jua balaa litakushukia siku moja.

    ReplyDelete
  2. chunga tamaa mbaya.

    ReplyDelete
  3. Dadangu bora mwanaume anayekupenda wew kuliko kumpenda mwanaume asokupenda. Tafadhal naomba umpende kwan inaonesha anakupenda sana. Mie nimeolewa na mwanaume niliyekuwa simpendi sana lakin sasa nampenda na namheshimu sana. Huyo niliyekuwa nampenda aliniacha kwa majonzi bila huruma. Halaf angalia unaweza kuuawa, au ukajafanyiwa kitu kibaya kama kubakwa na kundi la watu na kuuawa. Angalia sana usipende kumpotezea mtu muda hasa mchaga utakufa kabla ya muda. Pendeka shoga.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad