NIMEOA LAKINI MKE WANGU ANANIPANGIA RATIBA ZA KUFANYA MAPENZI
4
September 08, 2013
Mimi ni Kijana wa miaka 30 , Nimeoa mwaka mmoja uliopita , kabla sijaoa nilikuwa najua nikishaoa na kuwa na mke wangu ndani issue ya matamanio ya kimwili itakuwa hainisumbui kwa kuwa nitakuwa na mke ndani kila nikitaka kitu napata, lakini imekuwa kinyume na nilivyofikiria..kwani nimekuwa mtumwa mke wangu ananipangia siku gani tufanye mapenzi kwa week mara moja tu , siku zingine hataki kufanya chochote na mimi na nikilazimisha tunagombana na kutishia kuniacha...jamani hii ni sawa ? je nifanyaje ama nitafute demu wa nje?
Tags
Ukitafuta mwanamke wa nje ushaiua ndoa yako na itakuwa chungu mara sabini ya hayo unayodhani ni tatizo kubwa. Na ndio mwaka wenu wa kwanza so utakuwa na kimada kwa miaka mingapi! Skia, ongea naye tatizo ni nini. Au huenda humtayarishi vizur kabla ya tendo. Au huenda ana shughuli nying sana kila siku. Zungumzeni,si vema kuharibu ndoa yenu. Mwenyezi mungu hapendi ndoa kuvunjika au kuumizana. Ikishindikana kutatua tatizo wenyewe nenda kwa mtumishi aliyewapa mafundisho kabla ya ndoa. Au kama ni muislam mwambie kungwi wake au shangazi yake. Natumai umenielewa. Nimeolewa mim. Kwa wiki ni mara tatu tu kiafya.
ReplyDeletehuyo atakua anakidumu.
ReplyDeletekama hana sababu za kuto kukupa tendo la ndoa achana naye
ReplyDeleteNina mashaka na upendo wake kwako,jaribu kufanya uchunguz kuwa ni k2 gan kilmfanya akubal kuolewa na ww,maana inaonyesha hana hisia na ww,naamin hata hiyo ck 1 mnayofanya hakup ushirkiano,inaonyesha kuna ki2 kingine kimemleta hapo kwako ila c upendo na ndo mana yuko taar kkuacha k2 ambacho kama ana upendo na ww acngekifikiria,kaka ndoa nyingi kwa sasa ni feki
ReplyDelete