Wakuu hodi humu,
Naomba kufahamu ni nini hasa kinasababisha wanawake (baadhi) kutokwa na utando mwingi sana wakati wa ku~do?
Mimi ni Mvulana na kitu hiki huwa kinaniboa sana tunapo~do kwani huwa unatoka mwingi sana na huwa na kama maziwa ya mtindi yaliyo ganda.
Wenye elimu kuhusu hii kitu naomba ushauri wenu Je ni ugonjwa au ni hali ya kawaida tu?
DEMU WAKO HAJUI KUNAWA
ReplyDeleteI MEAN DEMU WAKO HAJUI KUOGA NA KUOCHA PAPA , UTANDO MWEUPE NI KAWAIDA KUTOKA UKENI BUT PAPA LINATAKIWA LIKOSHWE VIZURI KABLA YA SHUNGULI , INAYOTAKIWA KUTOKA WAKATI WA SHUGHULI NI MUCUS LAINI TU, ILE INAYOSAIDIA DUDE LAKO KUPITA KIRAHISI, SO MWAMBIE DEMU WAKO AJIFUNZE KUOGA NA ASITUTIE AIBU!
ReplyDeletemchafu huyo
ReplyDeletehajui kuoga uyoooooo
ReplyDeletekweli usilo lijua litakusumbua
ReplyDeletehuyo demu hajui kuoga mwambie aingize kidole chake na ajisafishe vzr ikiwezekana achukue kitambaa na sabuni y mbuni aweke povu kwenye kitambaa aingize toboni taratib kisha asafishe na maji uvuguuvugu au hata ya barid akifanya hyo trust me akivaa chup kuanzia morn mpaka jion hata chup haiw na uchafu wowote hata akiduu na ww hakuna harufu wala mtindi..hata mm nishapatwa na hyo hali docta alinishaur hvyo mpaka leo cna ttzo ile...
ReplyDeletemmmmmmmmmmmmm
ReplyDeleteHilo ni tatizo nenda hospital
ReplyDeletemlete nimsafishe huyo haoshi papa yake
ReplyDeleteMwambie aoshe hilo duka na maji makavu na kitamba ,,hakuna daktari atakwambia uoshe duka na sabuni....uliza utaambiwa
ReplyDeleteUnajua kaka.
DeleteNi kweli mambo kama hayo yapo lakini mwambie demu wako ajifunze kusafisha dudu yake kwa maji ya moto na sabuni yenye harufu na sio ya kuoshea vyombo
ReplyDeletehiyo ni dalili ya fungus,aende hospitali
ReplyDeleteuchaaaaafu kwel kwel!
ReplyDeleteAnitafute ninayo dawa
ReplyDeleteMwambie ajisafishe na maji ya baridisio ya moto yanatanua kuma. Bibi Haisafishwi na sabuni wandugu achuchumae aingize kidole cha kati ataona uchafu unatoka huku anajimwagia maji mpaka ahakikishe akiingiza kidole kikiingia kinabana kuma,hapo atakua msafi na asijisafishe hapo hapo afanye aoshe 3hrs b4 hata ipate joto loo
ReplyDeleteIt happens when she stay long without having sex but if it happens frequently then its a probem and its always happen after one election there after its Ok
ReplyDeleteMchafu.mwambie aingize kidole kila ck akiwa anaoga mpka asikie kidole kama kinabanwa na papuch
ReplyDeleteU know wakat mwingine ni fangasi lakin kama huo uchafu una harufu mbaya. Lakin kama ni mweupe ni wa kawaida. Anatakiwa ajioshe tu vizur bila sabun yoyote maana sabun inawasha. Atumbukize kidole uchafu hutoka woote.Kila siku asubuhi ndo vyema. Huku kwetu tunafundwa kabla ya kuolewa kujisafisha labda hajafundishwa bado usimlaumu hata wew waweza kumuelimisha.
ReplyDeleteSio uchafu wala ugonjwa hiyo humtokea mwanamke mwenye nyege nyingi na shahawa nyingi huwa karibu sasa unapoendelea kujamiana nae huwa zile shahawa zinaganda na kuwa katka hali vipande vipande laini kama mziwa ya mtindi lakini hayadhuru wala si ugonjwa kwani mwanamke kama huyo akienda bao la pili hautoiona hali kama hiyo. Wewe toa uume wako kisha jifute na ajifute na yeye kisha endelea. Angalizo kama atakua anatoa harufu basi uchunguzi utahitajika.
ReplyDeletewewe ndie ulie gundua nini kilikua kina msumbua huyu kijana na watu wengine wasiojua.ukweli hizo ni shahawa haswa kwa wanawake wenye nyege nyingi huwa wana kua katika hali hiyo ,hivyo sio ugonjwa lamda kama una toa harufu mbaya.mm huwa mpenzi wangu huwa anatokwa nao tunapokua hatuja fanya mapenzi kwa mda mrefu, kama wiki moja au siku tatu,na hua nafurahi sana huniongezea hamu ya kufanya mapenzi,maana mpenzi wangu huwa hoi kiasi kwamba hata kuamka huwa kazi kweli,
DeleteHahahahahahahaha daaaah
DeleteDuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
ReplyDeletedahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDelete"...kama maziwa ya mtindi..." huo si uchafu wa kawaida, ni aina ya fungus, nimewahi kushuhudia demu wangu akiwa nao, nami nilidhani hajui kujisafisha, baada ya wiki kadhaa hali ilizidi, tulienda kwa daktari, ikagundulika kuwa ni fungus, alipewa dawa aina tatu, ya kumeza (something like fluconazole), ya kupaka na ya kuingiza kwenye njia ya uzazi, NI VYEMA WOTE MUENDE KWA DAKTARI.
ReplyDeleteMwelekeze tuu nafikiri hajui kujiswafisha, mwambie akiwa anaoga ahakikishe anaingiza kidole chake kwenye k yake huku akimwagia maji mpaka akiona kidole kimegoma basi ajue yuko safi
ReplyDelete
ReplyDeleteWengi wamechangi kitu wasichojua, kwani mwanaume anapotoa shahawa inakuwa ni uchafu ? mbona na zenyewe zina ranfi kama maziwa? Mimi nijuavyo hiyo ni hali ya mwitikio wa raha wa mwanamke ktk tendi hilo na kusema ukweli huwa hiyo hali inatokea ikiwa tu mmefanya tendo hilo kwa muda mrefu na mwanamke anapata raha isiyo ya kawaida. Msiwe mnachangia mada kwa kuponda vitu msivyovijua; no reseach no right to speak, niko kwenye ndoa mwaka wa saba sasa na ninajua ninachokisema!
Haaaaaaaaaaaa
DeleteNyie mnaomwambia aoshe na sabuni mnajua madhara ya sabuni huko chini kuna vingine sio vya kukoment nawewe mwenye swali si u search google utapata majibu
ReplyDeleteWatin ona dey tuk sef? that girls na wah foram oh. im no sabi dress?
ReplyDeleteHuyo dem mshamba xana
ReplyDeleteFor sure io ki2 ua inatokea ila kwa baadhi ya wasichan na mara nyingi uo ute ua auna haruf na hii utokea pole endap itakua msichana atakaa mda mref kidogo kufany kitndo iko ivyo ucogope na wala ucangaike san ni hali ya kawaid
ReplyDeletejamani mnasema demu wa mwenzenu mshamba, "mbona wa kwako hausemi"? sikia iyo siyo ugonjwa ni mucus inayosaidia mashine izame ndani kiulaini kama kibogoyo kutafuna maini. Kama ni uchafu basi ungetoka mwanzo mpaka mwisho wa mchezo but it almost stops after second ejuculation. That's whats up.......!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
DeleteMpeleke polisi
ReplyDeletepambaf
DeleteMay be ni mikansa ya kizazi
ReplyDeleteKinachomsumbua hapo ni uchafu hakuna kingine coz wanawake wengi wanajua kuoga bt kujisafisha hawajui so muambie au msafishe kabla ya sex chukua kidole cha kati muingize then zungusha mashavu yote mawili utaona unautoa kabisa
ReplyDeletejaman mim pia naomba ushauri nina miaka 45 damu ya siku zangu inatoka mpaka siku 13 nilishafanyiwa upasuaji wa kizazi kulikuwa na uvimbe je tatizo linaweza kuwa ni nini?
ReplyDeleteNi kansa
Deleteuna uhakika?
Deletedaaaaaaah
ReplyDeletempendwa muone dk kwani hilo ni tatizo kutokana na umri
ReplyDeletewe unaonekana wa ajabu sana na inawezekana ni lena kwenye kazi ndo mana hata unauliza maswali ya ajabu mi nakushauri cheza na mashine vizuri nakuhakikishia hutaweza tena kuuliza swali la kijinga kuhusu mwanamke wako, we cjui umetoka wp huyo dada yuko poa we ndo lena wa kazi.
ReplyDeleteBONNY M
utamu huo
ReplyDeleteWadada walio wengi hawajapata mafunzo ya kuosha kuma kwa hiyo inawezekana ni uchafu na kama si uchafu wa kawaida inabidi amuone daktari
ReplyDeleteHivi jamani mnajua madhara ya kuosha huko chini na sabuni?
ReplyDeleteElimu ya uzazi inahitajika sana kwa wa2 wengi
Is douching safe?
ReplyDeleteMost doctors and the American College of Obstetricians and Gynecologists (ACOG) recommend that women don't douche. Douching can change the delicate balance of vaginal flora (organisms that live in the vagina) and acidity in a healthy vagina. One way to look at it is in a healthy vagina there are both good and bad bacteria. The balance of the good and bad bacteria help maintain an acidic environment. Any changes can cause an over growth of bad bacteria which can lead to a yeast infection or bacterial vaginosis. Plus, if you have a vaginal infection, douching can push the bacteria causing the infection up into the uterus, fallopian (fuh-LOH-pee-uhn) tubes, and ovaries.
Kwa kifupi douching (kusafisha ndani ya uke)inaweza ikaua bacteria wazuri wanaolinda huko chini against fungus, virus na vi2 vingine vibaya. Na kama una infection hiyo douching pia inaweza ikapelekea kuwakimbiza bacteria hadi kwenye kizazi. Muulize Gynaecologist yeyote atakwambia
Halo nakushangaa uliyesema huyo dada ajisafishe kwa kuingiza kitambaa chenye sabuni, eti wengine ingiza kidole kusafisha ndani. Wewe kama hujui kushauri afadhali kaa kimya sema tu mimi sijui.
ReplyDeleteHapa nakuletea madhara kunawa ukeni ndani
1. kuingiza vijidudu ukeni, sababu mikono yetu si salama kunawadudu wanao onekana kwa
macho na wasio onekana
2. Utapata uvimbe na usaha katika viungo vya uzazi, wengi wanahangaika kwa maumivu hayo
3. Utasababisha utasaKama mimba ikiwepo au akiwa na mimba , vijidudu vinaingia katika
maji ya mimba
4. Mtoto ndani ya mji wa uzazi anapata homa
5. Mtoto anaweza kufa tumboni
6. Mama anapata homa baada ya kuzaa sababu ya vijidudu hivi
7. Mama anaweza kufa baada ya kuzaa sababu ya vijidudu hivi.
Je unaweza kuosha kwenye koo? au kupiga mswaki hadi kwenye koo? Nani anasafisha huko kooni? Nakwambia hivi kuwa huko kooni ni sawa na huko ndani ya uke. Unatakiwa kusafisha nje kwenye mdomo wa uke si ndani. Wengi wameumia sana kwa kukosa watoto baada ya kuingiza wadudu bila wenyewe kujua na wadudu wakashambulia viungo vya uzazi. Wakaishia na kupata utasa wa bure.
Naamini si kosa lako wala lenu , kwani elimu hiyo haitolewi. Naomba zingatia hilo ninalo kuambia na uone kuosha ndani ya uke ni kama kituo cha polisi wasiko penda watu kupelekwa huko . Asante sana naomba kuishia hapa.
Ukiwa na swali uliza tu nitakujibu.
Ninauzoefu wa kunyonya kinembe ambacho wanaume wengi wameshindwa nitafute -0752238295 nitakulipa poa uridhike wewe mwenye njoooo kuma tamu sana
ReplyDeleteNimesoma michango ya wengi kuhusu suala hili, ila nimebaini wengi ni washamba, malimbukeni na wapuuzi! Mleta mada anahitaji msaada, siyo ramli au kubaatisha. Si vizuri kushauri upuuzi ambao wewe binafsi huwezi kumfanyia mkeo au mpenzi wako. Ushauri wa kitambaa, sabuni na maji ya moto niwa kilevi sana kwani KUMA sio kidonda, nikweli usafi unatakiwa lakini sio wa jinsi hii ya kuchokonoa kama thermos ya uji wa maziwa. Hili inawezekana ni tatizo au lisiwe tatizo maana it's typically biological. Kwani inagarimu nini kumuona daktari kwa ushauri
ReplyDeleteMost people commenting on this post have little or no slight idea about the delicacy of a womans v. Ni vyema mutembelee daktari kwani kitambaa chenye sabuni na maji moto ni sawa na kujitia kijiti ulicho kirokota shambani na kukitumbukiza mle ndani..sioni ikiwa hatia kwa mwanamke kutoa "maziwa" ila nijambo linalo hitaji matibabu haraka iwezekanavyo iwapo maziwa yale yanaharufu mbaya. Pengine anawapenzi wengine ambao huwafahamu ama labda ni ugonjwa unaotokana na "overgrown Bacterias" na hilo ni jambo la kawaida na rahisi kutibiwa. Kiswahili changu sio sanifu lakini mimi naishi marekani nanimehuzunishwa sana na mawaidha yaliyo chapishwa hapa
ReplyDeleteKaka naongea nikiwa kama ni mtu ambaye jambo hilo hunitokea pia nikiwa na mpnz wangu,,hakika si uchafu hali hii huwatokea hasa wasichana wasio shiriki ngono kwa muda na hiyo hutoka pale anapo fika kilele kwa bao la kwanza ute huo kama maziwa hutoka ,,na bao la pili huwa haijiludii hali hiyo,,,kaka huyu ndo dem na sio kicheche na hashiriki ngono nje bro,,shikilia mtoto huyo mi wangu simwachi na nimsafi vibayaaa
ReplyDeleteJamani tafadhali sana kwa wale wanao ingea kitu wasicho kijua.
ReplyDeleteKwa ninavyo fahamu mimi, mwanamke huwa hutokwa maji ukeni mara 2
Maji ya kwanza huwa ni meupe humtoka baada ya kumtomasa vya kutosha pia maji hayo huashiria kuwa yupo tayari kwa kitendo vilevile hulainisha na kuuweka sawa uke dhidi ya michubuko
Maji hayo kama maziwa huwa hayana tofauti na shahawa, kwa sababu mwanaume hutoa shahawa anapofika kileleni pia na mwanamke hutoa hayo maziwa anapofika kileleni.
Pia angalizo kwa anaesema kuosha uke na sabuni ni sawa na wewe kuoga alafu ukajipaka mafuta mpaka kwenye ulimi unaweza ukatapika mpaka kesho. Over ...!!!!
Mh umu kuna madaktar WA kila aina et aingize kidole ndani ajisafishe, unajua madhara ya sabun uken? Km hujui nyamaza bas duh!!!
ReplyDelete