PETE YA NDOA IMENIPONZA....NDOA IPO HATARINI

Wadau nipo njia panda naombeni ushauri wenu, nimefanya kosa kubwa na nalijutia
Tafadhali naomba ushauri badala ya kunituhumu

Mwezi nilikuta na demu mmoja tulisoma naye chuo kitambo alikuwa demu wangu for time being, so baada ya miaka kadhaa tukaja kukuta sehemu, shetani akanipitia nikavunja amri ya sita naye

Baada ya kurudi home nikagundua sina pete, nikajaribu kukumbuka nilipoiweka sikupata majibu
Baada ya siku kadhaa yule demu akzidi kunisumbua na kutaka niwe karibu naye sana lakini nikaona si vyema maana anaweza kusababisha mtafaruku kwa ndoa yangu

Baada ya kuona nampotezea akaniambia sasa unajifanya mjanja pete yako ni nayo na nahitaji sh 500,000 cash ama sivyo naharibu kwa mkeo kwamba pete ninayo na ulinikopa.

Kibaya zaidi wife aliniuliza pete umepeleka wapi nikadanganya nimeisahau ofisini nilikuwa nafungua printer sasa pete ikawa inani disturb nikaivua , nilipoenda jumatatu nikamwambia nahisi wahudumu wa usafi wameiiba maana siiona pale nimeiweka naendelea na uchunguzi.

Mwanzo nilimpuuzia lakini mshenzi yule kapeleleza hadi wife anapofanya kazi na kapata simu yake, juzi kampigia kamwambia "naomba mkumbushie mumeo deni langu mimi xxxxx nampigia simpati" halafu akakata simu.
Niliporudi wife kanibana nikamwambia ni mambo ya kazi tu akataka kujua no yake kaipataje, nikazuga zuga na ubabe wa kiume yakaisha

Nikipiga akili nimuendee Polisi naona kama kitanuka na wife atajua
Nikifikiria kumlipa akili hainipi kabisa....kilo tano?
Sijui nimueleze wife ukweli?

Nimejaribu kumpiia simu na kumbembeleza kagoma anachohitaji ni kilo tano au aniharibie kwa wife
Tafadhali ushauri wakuu lawama na madongo hayatanisaidia
Tags

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Usimpe hiyo hela akimwambia wife we mwambie huyo dada alikuwa akifanya kaz ofisin kwako na alikuwa akikutaka kimapenz siku zote na kuachishwa kwake we ulichangia hivyo ndo maana anataka kukuaribia ndoa yako

    ReplyDelete
  2. Haya malaya mwenzie tumekuskia mfundishe namna ya kudanganya ila ukwell uko palepale,na story zenu za kimalaya mpeleke uko we ulivyofanya hivo iulitegemea nini?na uyo dem fala kweli ningekua mimi ungeikuta kwa mkeo.ilu ukome.

    ReplyDelete
  3. Haya malaya mwenzie tumekuskia mfundishe namna ya kudanganya ila ukwell uko palepale,na story zenu za kimalaya mpeleke uko we ulivyofanya hivo iulitegemea nini?na uyo dem fala kweli ningekua mimi ungeikuta kwa mkeo.ilu ukime.

    ReplyDelete
  4. dawa ya vicheche wote ndio hiyo.ngoja shem ajue ili ukome na uache macho juu.

    ReplyDelete
  5. Yes!akome macho juu ka chura?ndo ukome!ipelekwe kwa mkeo nae akujue vizuri!ushaoa bdo wapenda mechi za nje?muone!

    ReplyDelete
  6. Achen zenu.nani hajawah kufanya kosa awe wa kwanza kupigwa panga.na kuteleza co kuanguka

    ReplyDelete
  7. Unaweza kumpa laki 5 na pete usipate.

    ReplyDelete
  8. Uncle samy singida. Dogo kuwa makini jiongeze huyo ni nyoka na majike ya cku hz yana fnana na mbwa wa ctendi acye kanyagwa gar co we nenda dukani tafuta pete kama hyo achana na msenge hyo ucmpe hata shlng bora PETE uinunue kwa lak 5 kuliko kumpa hyo mbwa afu akaenda kukuchafua tena msenge hyo. Kama vp nitokee kw 0767724328

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hapana chezea ww!Msaidie mme mwenzio!

      Delete
  9. Ushakosea taar,ila kwa kuyajenga kanunue pete nyingine afu ifanyie maujanja isjulikane kama mpya,mambo yatakaa sawa

    ReplyDelete
  10. Mvute tena karib kisha mdanganye paka upate Pete, kuwa Mwanaume

    ReplyDelete
  11. kipindi unamvua chupa hukujua kama ni mshenzi? mshenzi ni ww ulomsaliti mke wako

    ReplyDelete
  12. Senge sana ww. Ukijipeleka kumlagai ili uipate ndo atakurekodi ukome kabisa. We umeshafulia na umalaya wako!! Ulifikiri utakuta almasi kwny uchi wake???? Mkundu kabisa ww na umalaya wako. Tena naomba amfate mkeo. Ampe full mkanda!!!

    ReplyDelete
  13. hivi nyie matahira mnaomponda wasenge nn? mtu kashawaomba msimtuhumu wala kumtukana sasa mituc ya nn? mamae nyie, kwani nyie malaika hamkosei? bro pole sn, ucmpe pesa huyo demu bora ununue pete mpya

    ReplyDelete
  14. KWANZA NIAMBIE HIYO PETE INA THAMAN YA SHILLING NGAPI? KAMA NI ZAIDI YA SH 200,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000 HAPO UNAWEZA KUMLIPI HIYO LAKI 5.KAMA NI PUNGUFU YA HAPO ACHANA NAE. Niite ORUJONJOMOGO.

    ReplyDelete
  15. WATAFUTE CCWT WATAKUSAIDIA . CHAMA CHA WAZINIFU TANZANIA.

    ReplyDelete
  16. MBEMBELEZE MKEO ATAKUELEWA.Niite ORUJONJOMOGO.

    ReplyDelete
  17. SIKU NYINGINE MUWE MNAOMBA USHAURI KABLA YA KUZINIANA.niite ORUJONJOMOGO

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad