PICHA ZA MWIZI AKIPEWA KICHAPO CHA NGUVU NA WANANCHI BAADA YA KUJARIBU KUIBA


Kijana huyu ambaye hatukufanikiwa kupata jina lake, leo majira ya saa saba kasoro katika maeneo ya Dodoma Inn karibia na msikiti wa swali kabla hujasaliwa, kibaka huyu alidabwa na wananchi wenye hasira kali na kupatiwa kipigo kitakatifu baada ya kujaribu kuiba kwenye nyumba iliyoko karibia na msikitini huo na kutokufanikiwa, kibaka huyu alifanikiwa kuingia ndani ya nyumba hiyo na kushtukiwa kabla hajaanza kuiba na papo hapo kuanza kuchezea kuchapo:












CREDIT: kutoka kwa mdau kwa njia ya WhatsApp: Rajabu aka Bana manyema:

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hawa kateni 2 mkono...me huwa na hacra sana na wachawi na wanafki

    ReplyDelete
  2. Mimi naona kazi ya Polisi na Mahakama wananchi wawaachie wahusika tu. Hali ya maisha chini ni ngumu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad