Mwanamke huyo amekamatwa akieleke Roma Italia kupitia Paris Ufaransa kwa ndege ya Ethiopian Airways na aliingia hapa nchini Agosti 30 akitokea Nigeria.
Kwa mujibu wa Kaimu Kamanda wa Viwanja vya Ndege, Renatus Chalya, Ojo ataendelea kubaki chini ya ulinzi wa polisi kwa uchunguzi zaidi, wakati madawa hayo yamepelekwa kwenye ofisi ya mkemia Mkuu wa Serikali ili kubaini aina ya dawa hizo na thamani yake...
Zifuatazo ni picha mbalimbali za tukio zima la kunaswa kwa mtuhumiwa huyo .
Jamani
ReplyDeleteWE ANTHONIA KWA UNADHALILISHA VAZI LETU KWA KUFANYA UFISADI WAKO, WEWE NI MKRISTU SI UNGEVAA KAMA SISTA, ACHA HIZO.
ReplyDeleteSio kila mwenye jina la kiislam ni muislam na si kila mwenye jina la kikristu ni mkristu. Kuna watu wengi tu anaitwa Rashid lakini mkristu, anaitwa Frank/Florence lakini mwislam.usikariri
Deletetoa ukafiri wako uislam sio chaka la maovu kama ulokole.
Deleteunatetea uovu uliodhahili tena kwa kupakazia imani za watu wengine mpumbavu mkubwa wewe....
anthonia na vazi hilo wapi na wapi, unataka kutudhalilisha shame on you.
ReplyDeleteKumamalamadadazako Anthokufira mimi.sisi waswahili tunafira unajua hicho tendo?haya basi nenda kale njugu na Masogange sasa..
ReplyDeleteHapa tunazungumzia mambo ya madawa ya kulevya na nyiye mnaleta mada ya dini. Wapi tunaelekea jamani. Huyu mama akipatikana na hatia apate adhabu kali miaka 20 au 30 kwani ndugu watoto wazee wetu wanaharika kwa hayo madawa ba tamaa zao ya utajiri wa haraka haraka. Pia kupoteza matumaini ya watoto wetu wa kesho kwa taifa letu.
ReplyDeleteWatanzania bwana maneno mengiii! Mnaigeria na picha mmempiga na dawa zakulevya mmezipiga picha..mbona huwa hampigi picha watanzania wakikamatwa Au kuwataja majina!?
ReplyDelete