Ni baada ya sakata la kuibiana nyimbo lilichokua takribani siku mbili kati ya msanii Diamond Platnum na Dayna Nyange.
Na producer wa nyimbo hiyo akiwa na Shedy clever wa Burn recods.Team tizniz ikaamua kumtafuta Producer huyo ili kujua ukweli juu ya kitu hiki.
Shedy alisema “Beat hii nilitengeneza mimi kwa idea zangu mwenyewe,alivyokuja Dayna akaupenda ule mdundo,na mimi sikumnyima akafanya demo lakini hakulipia kabisa.Sasa ikapita zaidi ya miezi sita kila nikimuliza vipi anasema bado atakuja kufanya.Kuna siku Diamond akaja studio pale,akataka kusikia midumdo nikacheza midundo mbalimbali ila jamaa akavutiwa sana na ule mdundo ambao Dayna alifanya demo.
Mimi nikampigia Dayna na kumuelezea kwamba diamond kapenda kufanya kazi katika ile beat,Dayna akakubali kabisa,sasa nashangaa yeye kusema diamond kamuibia wakati alikubali kabisa.Mimi sina cha kusema zaidi ila ukweli upo hivyo.
PRODUCER WA NYIMBO YA DIAMOND YENYE UTATA AKATA MZIZI WA FITINA NA KUZUNGUMZA
13
September 05, 2013
Tags
sa 2mckilize nani?
ReplyDeletekuibiana muibiane nyie, kutuchosha mtuchoshe sie...kendraaaaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDeletepexando inasikilizwa sikuzote kamahauna mbala kaa chon'jo dada dayna
ReplyDeleteMm sipo upande wowote ila ukikisoma alichokisema sheddy kina walakin ndan yake... Swal ambalo najiuliza kama bit ulishampa mtu akaifanyia kaz kwann uiweke tena sokon kwa kumpa mtu mwingine afanyie kaz??? Na yy diamond alikubal vp kununua bit ambayo tayar kuna mtu ameshaifanyia kaz hata kama hajalipia ela??
ReplyDeleteSure..
DeleteYap kwanza dayna hyo nyimbo alikuwa amshirikishe daimond na daimond alikuwa ameshaisikilza hyo demo kwahyo alikuwa anaijua hyo beat vzur 2..
DeleteHamna jipya
ReplyDeleteHamna jipya
ReplyDeleteumtanda umekua wa kikuma kweli wamekua wanatuandikia mambo ya kiseeenge sasa mambo gani mnaturetea hayo?
ReplyDeletedayna!!! jaribu kingine!!hili umeshindwaaaa!
ReplyDeleteTEAM MAJUNGU
Kabisaa ameshindwaa nyoo kutafuta jina tuu
ReplyDeleteHana lolote kampa kisa domo mwenzie! Waangalie kwanza midomo ka chuchunge nyooooooo!
ReplyDeleteKwanza tushawachoka na skendo zenu zakutengeneza bwana,
ReplyDelete