Baada ya magaidi kuvamia kituo cha biashara cha Westgate nchini Kenya wiki iliyopita ,Marekani imetoa onyo kwa raia wake kuacha kusafiri kuelekea nchini humo.
Kitendo hicho kilipokelewa kwa hisia tofauti na Serikali ya Kenya kwa kudai kwamba hatua hiyo iliyochukuliwa na Marekani sio sahihi.
Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Kenya ililaani vikali hatua ya Marekani ya kuwaonya raia wake kufanya safari nchini Kenya.
Taarifa hiyo iliitaja hatua hiyo kuwa, haina umuhimu na pia ilitolewa katika wakati ambao sio mwafaka.
Ripoti hiyo iliongeza kuwa, shambulizi la Westgate jijini Nairobi, ni tatizo la ulimwengu mzima hasa kwa kuzingatia kuwa, hata Marekani yenyewe imekwishaathiriwa na vitendo kama hivyo vya kigaidi.
SEREKALI YA KENYA YAISHANGAA MAREKANI KWA KUSHAURI RAIA WAKE WASIENDE KENYA
8
September 30, 2013
Tags
Hawana lolote hao wamarekani wao wanyewe ndio magaidi wakubwa, marekani ni taifa linalochukiwa na watu wengi duniani, gorge bush ameua maelfu ya watu huko asia lakini hakupelekwa the haege ni viongozi tu kama luto ndy wanapelekwa huko. Poleni ndugu zetu wakenya obama sio mkenya hata kama baba yake alikuwa mjaluo. Jitumeni kutafuta mtafanikiwa tu.
ReplyDeletekwani alquda hawafiki huko american waja ujinga obama kifo ni kokote
ReplyDeletehii kweli kali hadi wazee wa kuleta F.B.I wanagwaya.
ReplyDeletewaafrika tubadilike tuache kupelekeshwa na matakwa ya hawa watu wa magharibi.
MAMBO YA NGOSO MWACHIE MWENYEWE NGOSO,, MMAREKANI KATAHADHARISHA TU WATU WAKE WAO WAKENYA WANA BIFU LAO NA OBAMA,, NDIO MAANA WANAFIKIRIA VIBAYA,, WATAYAMALIZA WENYEWE INSHALLAH!!!!
ReplyDeleteWatanzania nendeni kenya
ReplyDeleteWakenya wamelikoroga sasa watalinywa wenyewe.
ReplyDeleteMajwshi yao yatoke Somalia ndio watapona
Marekani wameshajitoa wakati mwanzo walikuwa wanawapa moyo wakenya waende kupigana.
Alianza Obama akafuatia bush ,Oprah Clinton na family yake wali switch trip ghafla no Kenya mhhhh some thing is serious wrong
ReplyDeleteAm proud being Tanzanian,though this people( kenyans) wanatudharau sana....
ReplyDelete