Siri ya Aunt Ezekiel kupigwa chupa club na kujeruhiwa mkono wake imefichuka.Habari za uhakika zinadai kwamba Aunt alipigwa chumba na mrembo wa kike katika harakati za kugombea penzi la mwanaume...
Mwanaume aliyekuwa akigombaniwa ni Jeff ambaye anadaiwa kuwa ni boyfriend wa Yvonne ( aliyempiga aunt chupa )..
Kutokana na aibu hiyo, mastaa kadhaa wameongea na mpekuzi kwa nyakati tofauti na kueleza masikitiko yao dhidi ya aunt Ezekiel ambaye ni mke wa mtu...
Katika maongezi hayo, mastaa hao walidai kwamba mambo anayofanya aunt hayaendani na matendo ya mke wa mtu. Aunt amekuwa ni mtu wa baa, club na madanguro mengine ya usiku, hali inayotia shaka uhai wa ndoa yake.
" Aunt kapata mume mwelewa sana ambaye kakiheshimu sana kipaji chake kwa kuto-mbana.
"Cha ajabu yeye ameanza kufanya mambo ya aibu kwa kuendekeza ngono nje ya ndoa yake" alisema star mmoja wa kike aliyekataa kuwekwa wazi jina lake ..
Muigizaji mwingine wa kike ambaye hakuwa tayari kuchorwa mtandaoni alisema:
"Aunt ajiangalie sana.Yeye ni mke wa mtu kwa sasa. Kitendo alichokifanya kimemchafua mpaka ukweni na asipokuwa makini atampoteza mume wake...
"Yvonne alikuwa anamlinda bwanake, mi siwezi kumlaumu sana ila nyie wanaume ni watu wabaya sana pia"
Safi sana vyone tena angeipigisha kwenye uso ndo na bongo muv ingeishia hapo,umalaya tu na bado uwoya ya kwako iko njian kutwa waume za watu mliolewa ili iwe nini,na wewe mume wa ant pole yako hukuona wanawake had ukaingia mkenge huo.ovyooooooo sana bongo muv na mtatembezewa vichapo tu mkafie mbele na maukimwi yenu.
ReplyDeleteUmaarufu bila kipato ndio maana mnageuza miili yenu Biashara na huko kuolewa ni zuga tu,Mnakera sana hivi huo Umalaya wenu mnaifundisha nini Jamii ikiwa ndio mnajiita MSANII KIOO CHA JAMII NDIO KWA HUO UCHAFU MNAOFANYA...???MJITAMBUE
ReplyDeleteaunt sura imemvimba ana mimba kubwa tu lol wapi sunday unatuacha watoto tuliotulia wafata magube gube weka no tukutafute plsssssss
ReplyDeleteHeeee kumbe shost ana mimba?
DeleteMaisha ya wasanii wa kibongo almost wote ni feki asa iyo bongo movie wanapretend kumiliki vitu vya gharama na pesa wakati hawana na ndio maana yake wanajiingiza katika mambo ya umalaya na karibia wote wanauza mili yao ili kupata pesa na kubakia na status zao za umaarufu na wanatumia iyo bongo movie kujulikana ili wafanye mambo yao binafsi ya kupata kipato cha juu kwasababu wameshakuwa maarufu...Ndugu zangu kabla ya kwenda kuoa hao wanawake wa bongo movie chukueni mda ili muwajue zaidi bila ivyo utadhalilika baadae katka jamii sababu hakuna mtu mwenye pesa ajapitia hao wanawake..Kama mambo anayofanya huyo aunt ezekiel kweli ni heshima ya mke wa mtuu hii na unabahati umeolewa na mume bwege bila ivyo ndoa ungeisikia tuu na nahisi iyo sio ndoa ya kweeli sababu hakuna mwanaume asikie kila siku kashfa za mkewe na tena na ushaidi alafu uongei kitu..jamaa vipi limbwata limekolea nini
ReplyDeletemmmmmmmmmmmmmmm mdogo wangu aunt ezekiel bora ufunguke tu juu ya taswira nzima ya maisha ya mumeo huko dubai ili uwe huru kufanya yako na washabiki wako wajue maana we ni staa na unapendwa kwa jinsi unavyoijua kazi yako kuliko kufa na tai shingoni
ReplyDeleteUyu malaya tu,mumewe mwenyewe anaonekana mdogo au ndo mambo yetu yale afikishwi kwa kale katoto.bora usingeolewa watu wajue moja.hayo mambo yenu ni tofauti na wake za watu,mjiheshimu.
ReplyDeleteNasema sina ndugu wakuweza kunisaidia nikifa leo na kesho maiti yakwangu ni bure.
ReplyDeleteUMALAYA UMEMKOLEA HAWEZI KUACHA HUYO UKIMWI OTAMZOAZOA
ReplyDelete