Mama mmoja wa kinigeria amekamatwa na madawa ya kulevya mchana huu katika uwanja wa ndege wa JNIA akijaribu "kum-bypass " Dr.Mwakyembe.
Mwana mama huyo aliyetambuliwa kwa jina la Ojo Athnonie alikuwa amevaa bai bui kwa juu na kufunika sura yake yote.....
Taarifa zinaarifu kwamba mama huyo alikuwa akienda na Ethiopian Airways na hivi sasa yuko chini ya ulinzi mkali wa polisi .....
Kwa mujibu wa StarTV, mwanamke huyo anadaiwa kutumia ubunifu wa ziada kwa kanunua powder za johnson kubwa na kuzikata kwa juu na kisha kuweka kete 99 ambazo zote zimenaswa.
SISTER DUU ANASWA NA MADAWA YA KULEVYA MCHANA WA LEO AKIELEKEA ETHIOPIA
3
September 04, 2013
Tags
kamata mwizi men.
ReplyDeleteMBONA HAMJAMWONYESHA PICHA ZAKE? MWAKYEMBE ULISEMA KILA ATAKAYEKAMATWA MTAMPIGA PICHA NA KUSAMBAZA PICHA PICHA ZAKE NA ULIANZA NA YULE RASTA. JE HUYU MBONA HAMFANYI HVY? AU NDO MZIGO WAMKUBWA? TUNAWASUBURI AVUE HIJABU APIGWE PICHA MAANA YULE HATA KWENYE UISLAM HAYUPO KULINGANA NA TENDO ALILOLIFANYA.HVY HAKUNA KISINGIZIO CHA KUTOMPIGA PICHA.
ReplyDeleteWewe picha kapigwa za kutosha na zimerushwa mtandaoni
ReplyDelete