KWA wale waliokuwa wakichongachonga wanayoyajua wenyewe, watakuwa wameumbuka sababu staa wa sinema za kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ ameanza kupata mwili kama zamani.
Kudhihirisha kama mwili wake umeanza kurudi kama zamani, paparazi wetu alimnasa staa huyo katika uzinduzi wa video ya wimbo wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, My Number One uliofanyika katika Hoteli ya Serena, Posta jijini Dar na kuona mwili wa staa huyo ulivyojengeka upya.
“Mazoezi ndiyo kila kitu katika mwili wangu, hayo wanayoyasema watasema lakini mimi ni msanii najua namna ya kuutengeneza mwili wangu kadiri ninavyotaka,” alisema Ray.
Source:GPL
I love Ray kusema kweli..so cuteee!
ReplyDeleteOnana nae Hana kwa Ana ndio uje uandike umu I love you zako.
ReplyDeleteNilisha wahi kuonana nae wakati nimetembelea TZ na nilimwambia how much I love him:) so stress zako katafute pakuzitolea sio kwangu! Ray ni mlove mimi..hasira ikushike wewe? Mbona majanga..au wewe mkeweee? Lol
Deletefu.......k ?
DeleteFu....k? Hell No! Nampenda tu kama binaadam wakawaida and I think ni mcute
Delete