Mtu ukishazaa si binti tena!kuna vitu huwezi kuvizuia,shilole ww ni mzuri haina haja ya kuvaa hivi hata ukivaa vizuri jukwaani watu watapenda utakavyocheza na kuimba pia!pls ww ni mama na tumbo linaonekana lishakandwa hilo vaa vizuri itakuongezea heshima!
aliyewaambia kuwa kila anayezaa anakuwa na tumbo kama hilo nani? si uvivu tu wa kutunza mwili na kula kula ovyo. mbona kuna watu wamezaa hawako hivyo shenzi, aache kula ovyo kama nguruwe na afanye mazoezi anone kama huo uchafu hauta ondoa.
Nani kakuuliza kama ulilala nae? Mbona wazungu hawana matumbo kama hilo. Ni kulakula ovyo ndo tumbo linakuwa hivyo. Mfano mke wa beckam ana watoto wanne lakin hana hata tumbo kama hajazaa. N mazoezi tu na kupunguza kula. Ni mzuri shilole!
Six pack! Anafanya mAazoezi awe kama Diamond
ReplyDeletemazoez hapend anapenda kufakamia mibia na kitimoto ndo faida yake iyo
ReplyDeleteDuh, tumbo la uzazi ni nomaaa tepetepe
ReplyDeleteAfanye mazoezi itakwisha Shilole is the best.
ReplyDeleteHaha mbona noma
ReplyDeleteMtu ukishazaa si binti tena!kuna vitu huwezi kuvizuia,shilole ww ni mzuri haina haja ya kuvaa hivi hata ukivaa vizuri jukwaani watu watapenda utakavyocheza na kuimba pia!pls ww ni mama na tumbo linaonekana lishakandwa hilo vaa vizuri itakuongezea heshima!
ReplyDeletealiyewaambia kuwa kila anayezaa anakuwa na tumbo kama hilo nani? si uvivu tu wa kutunza mwili na kula kula ovyo. mbona kuna watu wamezaa hawako hivyo shenzi, aache kula ovyo kama nguruwe na afanye mazoezi anone kama huo uchafu hauta ondoa.
ReplyDeleteMiukimwi 2,amna lolote nimeshamtomba
ReplyDeletemh,kumbe una ukimwi
DeleteNani kakuuliza kama ulilala nae? Mbona wazungu hawana matumbo kama hilo. Ni kulakula ovyo ndo tumbo linakuwa hivyo. Mfano mke wa beckam ana watoto wanne lakin hana hata tumbo kama hajazaa. N mazoezi tu na kupunguza kula. Ni mzuri shilole!
ReplyDeletedaa snura mushi anatumbo kama pipa la gongo
ReplyDeletejamani mkikuwa mjiangalie maana mtaishia kuwa vitu vya ajabu.
ReplyDeleteKwani hamjui hawa wasanii ni mavipodozi tu ndiyo yanawafanya wang'are?????wote used tu hao....wala msibabaike nao....
ReplyDeleteKujisitiri ni kitu muhimu. Shilole ni mrembo ila anatakiwa ajue kujisitiri tu. Akumbuke yy ni mama na anatuwakilisha akina mama. Nampenda kwa shida..
ReplyDeletembona majangaaaaaaaa
ReplyDeletemmmh....
ReplyDeleteteh teh teh teh teh .................1
ReplyDelete