UGONJWA MPYA UMEWAINGIA WADADA NA WAMAMA

Katika pitia pitia zangu kuhusu magonjwa ya wasichana na wanawake nimegundua aina mpya ya ugonjwa maarufu kwa wengi Lakini hawajui Ama hawajijui kama wanao ugonjwa ni ugonjwa wa shopping. Chunguza kuanzia wasichana wa shule vyuo mpaka wamama wanao ugonjwa Yaani mtu Ana nguo makabati chumba kizima viatu kibao Lakini bado anataka kuingia dukani anunue nguo mpya! Watalaam wa magonjwa ya akili wameuelezea huu ni ugonjwa mkubwa wa shopping juchunguze una nguo kiasi gani na kwanini bado unataka kununua nyingine?? Tujadili....
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Uwii kweli Kabisaaa..me na radiki yangu tunahuo ugojwa 150% tukitoka kazini tu brek ya kwanza madukani kununua viatu na nguo!Nina viatu mabox na mabox utafikiri ninaduka,now tumepata ugonjwa mpya wa kununuwa lipsticks kila rangi ! Yes I'm shopholic #1NAHITAJI DAWA JAMANI Lol


    Bijou

    ReplyDelete
  2. Raha ya mwanamke apendeze na aende na wakati lazima apitie dukani kuangalia fashion mpya ili wazidi kupendeza na kadri mwanamke anavyopendeza kwenye maswala ya mavazi ndo anakuwa na mvuto kwa kiasi kikubwa. mi naona huo sio ugonjwa bali wanajielewa jinsi ya kutunza miili yao.

    ReplyDelete
  3. Tunaconsume ili tuwape nafasi wafanya biashara waende china nadubai kuleta malighafi na wapate vipato pia kuiongezea serikali revenue na tra officers wazid kukuza vitambi ili na wao siku moja wanunue visiwa wajenge nyumba zao uko, chezeya consumalism wewe,

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad