UJUMBE ALIYO ANDIKA AGNESS MASOGANGE FACEBOOK WAZUA MASWALI..JE KAACHIWA HURU?

Hii ni post aliyoiweka Agnes Masogange kwenye ukurasa wake wa FB na imeanza kusambaa kwa kasi kupitia wasanii mbalimbali na mm nimeinasa kwa DJ CHOKA muda huu.
Je yawezekana wametoka?Au ndio zile fununu kuwa wanapiganiwa kesi yao irejee nchini?
Tungoje kama ni kweli ama uzushi


Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ujinga mtupu,unamjua mungu now!

    ReplyDelete
  2. Watanzania huwa wananishangaza sana,mnafanya anasa kama mpo sodoma na gomola na kushiriki kuangamiza watu afu et mnamjua mungu!!ivi mungu wa kuchezea kias hicho,go to hell

    ReplyDelete
  3. Watanzania huwa wananishangaza sana,mnafanya anasa kama mpo sodoma na gomola na kushiriki kuangamiza watu afu et mnamjua mungu!!ivi mungu wa kuchezea kias hicho,go to hell

    ReplyDelete
  4. Shetani mkubwa we agness unayeuza mwili wako na drugs halafu unathubutu kulitaja jina la Mungu wako.na ukirudi bongo Tabia zako ziko pale pale za kucheza porn movie halafu unamtaja muumba wako.una kufru sana wewe.

    ReplyDelete
  5. Shetani mkubwa ww Agness kwa kupenda anasa za dunia sana! ndio kumekuleteya balaa sasa ndio wajuwa mungu nyang'au ww mlanguzi mkubwa wamadawa yakulevya inchini tanzania !

    ReplyDelete
  6. Jaman msimlaumu sn. Mungu wake nadhan c wa kwe2. anawake anaitwa shetani. Ha2ukuitaj tz kwnz ni muuaji unazorotesha nguvu kaz ya taifa. Na nyie serkal mc2fanye watz wajnga yaan kukamatwa yeye serkal yote imeenda sauz na kina nzowa wanaojiita wakuu wa kitengo mnarud huko ghafla mna2ambia madawa yao ni mengne mbona huu utoto serkal inachangia 100pc kuangamza taifa lake lenyewe au ni biashara ya serikali??? Inauma sana kwa kwel yaan mmeenda kuongea sauz n wenzenu ili kubadil issue!! Na kuna watz wangap wamekamatwa chna,hongkong, brazil uarabun mbona we nzowa hatujakuckia hata cku moja kwenda huko.ila hili la agnes umeweza. Acheni kutukwaza jaman fanyeni kaz kimaadili. Tumechokaje.

    ReplyDelete
  7. Mdau nimeipenda hii. Makavu live

    ReplyDelete
  8. Acheni Kudanganya Watu Hakuna akaunti ya Huyo Binti iliyoandika maneno hayo, Watu tumesha angalia na tumegundua nyie waongo tuta dis like blog yenu ohoooo....

    ReplyDelete
  9. dawa akirud ni maandamano tu na tutampinga mpaka zowa ajiuzulu ikishindikana raisi ajiuzulu TUMECHOKAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

    ReplyDelete
  10. pumbavu subiri unyee debe kwanza

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad