UKIMYA WA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA UNAMAANISHA NINI?

Takribani toka taifa linazaliwa tumekuwa tunaona mawaziri wakuu wakichapa kazi za kukumbukwa kama alivyo kuwa nyerere, sokoine, hata lowassa, wakiwa mstali wa mbele kutatua kero lukuki za wananchi bila kujali kuchukiwa na watu baadhi. Mzee pinda mbona kimyaaa saana tunamwona akichapia kidogo tu.

akiandamwa na magazeti, kimyaaaa mzee pinda hatu waziri mkuu mwingine hebu toa cheche! Weka siku saba vinara wa madawa ya kurevya wajisalimishe, weka sikusaba vinara wa ugaidi huko zanzibar wajisalimishe, weka siku saba vinara walaji wa mashirika ya umma wajiuzu.

Source:Jamii Forums
Tags

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. watanzania sisi sijui tupoje mzee watu aikaa kimya anasema afanyi kazi akifanya kazi anavunja haki za binadamu sasa mntaka afanye nn kizuri kwenu.

    ReplyDelete
  2. Kusema kweli pinda amepinda,kakiri bungeni amechoka mbaya,na kwamba hana muda wa mjadala zaidi ni piga tu!

    ReplyDelete
  3. ndo mana hatuendelei..majungu tuuuuuuuu

    ReplyDelete
  4. Jaman pinda alishasema piga tuu.sasa mnataka afanyaje zaidi ya kupiga tu.mwacheni ale nchi bhana

    ReplyDelete
  5. Mburura mkubwa dammet,tutapiga watu wanaomuhusu aanze tengeneza time.

    ReplyDelete
  6. Hilo li waziri mkuu ni bwege kuliko, limewekwa tu kama kivuli yaani kuna mawaziri wake wachapa kazi kuliko yeye yaani huyo waziri mkuu ni sanamu tu.

    ReplyDelete
  7. Tanzania haijawahi kuwa waziri mkuu mpumbavu kama Miz* Bending!!

    ReplyDelete
  8. Huyu nae kazd kw ukimya...imefka kipnd rais anasakamwa na watz kw kila ki2 wanamuangalia rais hata issue ndongondogo rais ndo atoe kaul yaan kinyaa ona watz wanataka rais ataje majna hadi ya wauza unga ye aongei chochote wakt anatakiwa aoneshe uwajibkaj. Unatuboa mzee. Ye kazi kulialia 2. Una2boa mzee amka bhana. Pyuuuuuuu

    ReplyDelete
  9. Wajibka mzee..bora lowasa bhana pamoja na kuwa fisadi ila alichapa mzgo

    ReplyDelete
  10. Lowasa jembe bwana!kila mt fisad kwa nafasi yake so asisakamwe yeye tu!

    ReplyDelete
  11. Hivi watanzania tukoje wagumu wa kuelewa mtu kaisha sema kachoka kabisa.sasa akikaa kimya mnashangaa nini.m.ng.machimkenda

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad