Cyrill Okusan kijana wa miaka 22 ametajwa kama muhusika wa unyama huu,Tayari ameshafunguliwa mashtaka kwa kosa hili.
Nadhani ni wivu tu wa kimapenzi na roho mbaya ndiyo iliyosababissha yote haya,jamaa akaona wacha nimuharibu reception tuone baada ya mimi kama kuna mtu atakubinyia hata kijicho..mbaya sana! Kina dada kuweni makini na ma-boyfriend wa kukutana nao mitaani bila hata kujua background na tabia ya mtu.
UNYAMA...!!! MWANAMKE AMWAGIWA TINDIKALI USONI NA KUHARIBIKA VIBAYA, KISA NI WIVU WA MAPENZI...
8
September 06, 2013
Tags
habari ya uongo utaijua..hainaga maelezo yakutosha..na kwa jinsi navyokujua we ni m2 wa kucopy na kupaste..na habar cjaiona sehem nyingine, huwa nachukulia ni uongo m2pu
ReplyDeletehata aijulikan imetokea nchi gani, ungo m2pu
ReplyDeleteAchen kuvumisha habar ambazo si za kwel huu ni upumbav hataksma ni udaku
ReplyDeleteUlietuma habari hii unapigwa pumbu puani!!
ReplyDeleteyana hta mkiokota picha huko bas mnajifnya kuitengenezea habar,,,,pumbav
ReplyDeletenyi mazezeta kwel.........uandish gan huo?jina la majeruh hamna,muda hakuna,mahal wap haijulikan kama hamna jipya kapgeni story na waume zenu
ReplyDeleteKiukweli wamekosa kazi kwenye vyombo vya habari ha2jaona/kusikia huyu cjui katoka ndoton kabandika tu hapo ukatombwe huko
ReplyDeleteJINA LA MTUHUMIWA LINA ASILI YA KINAIGERIA. SI LA KITANZANIA. JE NAIGERIA SEHEMU GANI? TUKIO HILO LIMETOKEA LINI? JINA LA MWATHIRIKA NA MAELEZO YAKE YAPO WAPI? LITOKEA SAA NGAPI? AMELAZWA HOSPITAL GANI? JIBU MASWALI HAYO HUO NDO UANDISHI.
ReplyDelete