Kwa wale wapenzi wa Mac products zote nataraji kuleta mzigo dar mwezi ujao,so kama unatumia na wewe Mac original au Iman na wataka nikuweke kwenye list please niinbox kwa email adres petridafashion@yahoo.com.
![]() |
Foundation ya Maji |
Eye shadow+Lipsticks zitakuwepo pia
Na huu ndo muonekano wangu after using mac powder+foundation+shiner yake kwa uso, hujutii maamuzi yako.
Duh embu weka picha kabla ya kupaka hvyo vyote maana sura yako sijui km imepakwa hvyo vitu. Binti kimambi amewafundisha biashara eheee kila mtu mac?
ReplyDeleteweeeeee naye chai jaba mtu asifanye biiashara kamuiga huyo mwanamke khaaaa stupido
DeleteWe nawe kwani kimambi peke yake ndo anajua biashara angekuwa anajua biashara si angekuwa milionea,tupshe uko usituchafulie hari ya hewa sie na uyo mtu wako.
ReplyDeleteembu jaman mtuwekee uyo dada picha yake ambayo hajapaka izo mac sijui,maana kama ndo kweli imembadilisha ivyo basi hata mke wangu nitamnunulia naye apendeze.
ReplyDeletehizo product zinauzwaje? i mean price
ReplyDeleteblog yako inaitwaje mamy?
ReplyDeleteBlog yake inaitwa petridafashion nazani kwa blog yake anaemail adres waweza wasiliana naye akakupa price
ReplyDeletekhaa, kwani kimambi ndo mfanyabiashara wa kwanza? acheni roho mbaya jamani khaaa.. hamjui hata kumtia mtu moyo? kazi majungu tuu! Bi dada mungu akutangulie ktk biashara yako
ReplyDelete