VIDEO YA BILA KUKUNJA GOTI YA MWANA FA NA AY YAKUBALIWA NA TV ZOTE KUBWA DUNIANI

Video ya hit song ‘Bila Kukunja Goti’ ya Mwana FA na AY waliomshirikisha J.Martins kutoka Nigeria tayari imepitishwa kuanza kuonekana katika vituo vya nje ambavyo hucheza videos zenye ubora wa kimataifa tu.

Mwana FA amethibitisha kuwa video hiyo ambayo imefanywa Afrika Kusini imepitishwa na vituo vya Trace, MTV Base, Channel O pamoja na Sound City na itaanza kuonekana katika vituo hivyo.

FA kupitia ukurasa wake wa facebook ameandika, “Siku nyingine hatua nyingine…video ya Bila Kukunja Goti imefanikiwa kufikia viwango(imepita) Trace, MTV BASE, Channel O na Sound City. Yes,itaonekana kote huko…#afrikanzima…#goingplaces…#keepingthegoodmusicalive,”.
-Bongo5
Tags

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wekashakuwa mababu wangewekeza kwenye kuinua chipukizi lol

    ReplyDelete
  2. Na wewe mbibi umewekeza kwenye nini,mbuta nanga..

    ReplyDelete
    Replies
    1. Joto hasira poyeee msg sent umri ushaenda achia watoto dam changa kina diamond mfyuuuuu

      Delete
  3. Huyo atawekeza kwa makahaba chip

    ReplyDelete
  4. Kazi nzuri lakini nadhani unatambua ULIPO IBA HUU MUZIKI, si vizuri kuwakandamiza vijana wanochipukia HAIPENDEZI.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mwe! Mwe! Mwe!! Ati ameiba!??? Heeee!
      Ngoja nikalale kwanza maana hii nayo habar mpya..

      Delete
  5. kazi nzur then mzk mzr kwa wa2 wazr ay and fa big up

    ReplyDelete
  6. Msanii hazeeki..... mwambieni na R.Kelly apishe damu changa bac. Keep up brothers.

    ReplyDelete
  7. Huyo ana wivu inaelekea ni dada yake yahaya mwenye sura ngumu na mume baby face! Nawapenda AY na FA penda sana nynyi

    ReplyDelete
  8. Na mimi penda sana nyinyi

    ReplyDelete
  9. Na mimi penda sana nyinyi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad