Amini usiamini Nigeria ina upungufu wa wanaume wa kuoa!! Kiasi kwamba wanawake wanaotamani kupata wenza na kutengeneza familia wameamua kuchukua hatua. Zaidi ya wanawake elfu 8 walio single jana wameandamana kutokana na upungufu wa wanaume wa kuwaoa.
Lengo la maandamano yao ni kuishinikiza serikali kuwasaidia waolewe, kivipi? (Ndio swali hata mimi nimejiuliza!)
Wanawake waliojikusanya na kuandamana ni mkusanyiko wa 5380 waliopewa talaka, 2200 ni wajane 1200 yatima, na 80 wengine. Wanawake hao wamedai kuwa hawana uwezo hata wa kununua chakula cha siku kwa sababu hawana wanaume wa kuwasaidia ndio maana wanahitaji wanaume wa kuwaoa na kuwasaidia mahitaji yao.
SOURCE: NAIJA GISTS
WANAWAKE SINGLE WAANDAMANA KUSHINIKIZA SEREKALI IWASAIDIA WAOLEWE
16
September 28, 2013
Tags
Waje Tanzania.kuna wanaume wanakosa wake.asee
ReplyDeleteOoh really??!! Tz kuna wanaume wa kuowa i dn't think so.
DeleteHahaha mdau ulivyomuuliza doh na kweli tz hakuna waoaji banah
DeleteEeh labda aseme waje Tanzania ile wao waoe wanaume
DeleteKaribuni Tanzani ila tu mfate taratibu za uhamiaji msije mkapitiwa na operation kimbunga
ReplyDeletewaende kenya,make wanaume wa kenya wanalalamika kwa kunyanyaswa na wake zao,wakienda na kuwa wapole watajimegea kama wakwao vle
DeleteYou are very right
DeleteWasije hapa Kenya. Wake wanyanyasaji ni wa Nyeri tu. Labda waelekee huko!
Deletesasa.. wacha nikae vizuri maana it's about to get REALLY REALLY interesting.
ReplyDeletedalili moja wapo ya kiama ni wanawake kuwa wengi duniani...zishaanza kujionyesha
ReplyDeleteLakini kuna haja ya kuwaelimisha wanawake wa kiafrika wajifunze kujitegemea, hii ya kutegemea wanaume kama pato kwao haijakaa vizuri.kwanza kuoa au kuolewa sio kitu ya lazima
ReplyDeleteMimi nakasirika sana mtu anaposema TZ hamna mwoaji wakat huu mwaka wa 5 mi natafta mke wa kuoa lakn sjapata mpaka leo.yani nimejari hata mama ntilie,nimeshindwa,nikahamia kwa mabek 3 nako hali bado ngumu.hao wangekuja huku huenda ningebatisha 1
ReplyDeleteKaribuni Bongo
ReplyDeleteasee waje kabisa bongo. binafsi natafuta huu mwaka wa 5 sijaona wa kuoa
ReplyDeleteasee waje kabisa bongo. binafsi natafuta huu mwaka wa 5 sijaona wa kuoa
ReplyDeleteBad news
ReplyDeleteI thought nigerian men do hv hose power