WEMA SEPETU AWATOA MATE MANJEMBA KWA USTADI WA KUKATA KIUNO..!!

Wema Sepetu ameonyesha upande wa pili wa maisha yake baada ya kunaswa akikata mauno mwanzo mwisho. 

 Kwa mujibu wa mtandao mmoja wa Kibongo, Madam alifika na kampani yake katika Ukumbi wa Thai Village, Masaki jijini Dar hivi karibuni na ndipo ‘mashetani’ yalipompanda baada ya kusikia sebene lililokuwa likiporomoshwa na Bendi ya Skylight.

Wema akiwa na kampani yake wakionekana kukolea kwa kilevi, waliinuka na kuanza kushindana kucheza huku Wema akijiweka ziro distance na mmoja wa wanamuziki wa bendi hiyo na kuanza kumkatikia.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad